jenista mhagama afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Wazee wa mila waamua kuisimamisha mvua mkoani Ruvuma hadi siku ya mazishi ya Jenista Mhagama

    Baraza la Wazee wa Mila na Desturi mkoani Ruvuma limetangaza uamuzi wa kuisimamisha mvua isinyeshe kuanzia leo Desemba 13, 2025 hadi Desemba 16, 2025, siku ambayo aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, atazikwa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia mvua iliyonyesha asubuhi ya leo, Desemba 13...
  2. Waufukweni

    Katibu wa Bunge: Jenista Mhagama amefariki kwa maradhi ya Moyo

    Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baraka Leonard, amethibitisha kuwa kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, marehemu Jenista Mhagama, kimesababishwa na maradhi ya Moyo. Akizungumza wakati wa Ibada ya Misa ya Kuuaga Mwili wa marehemu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki...
  3. Waufukweni

    Picha: Rais Samia kwenye ibada ya kumuaga Jenista

    Rais Samia akiwaongoza waombolezaji kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho na waziri wa zamani aliyeongoza wizara mbalimbali, Jenista Mhagama, katika Kanisa Katoliki Kiwanja cha Ndege, jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025. Jenista alifariki dunia Desemba 11, 2025, jijini...
Back
Top Bottom