Mkuu usije ukadhani upo peke yako ambaye haufurahishwi na tabia za hao watu wanaojiona dunia ni ya kwao peke yao tu.
Angalau sasa tuna mtu ndani ya Afrika anayethubutu kuwapa 'shit' moja kwa moja. Kuna jasiri mmoja alijilipua juzijuzi hapa akawaambia 'who are you?, lakini wewe unakandamiza...
Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amemjibu tena Seneta wa Marekani Jim Risch kupitia mtandao wa X siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, baada ya kuomba radhi hapo awali.
Mzozo huu wa maneno umeibuka kati ya Uganda na Marekani baada ya Muhoozi kuchapisha na baadaye kufuta...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Uganda (UPDF), ambaye pia ni mtoto wa Rais Yoweri Museveni, amempa aliyekuwa mpinzani mkuu wa Museveni katika Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, Bobi Wine, saa 48 ajisalimishe kituo cha polisi. Taarifa hiyo imetolewa kupitia ukurasa wake wa mtandao...
Jeshi la Uganda limetangaza kusimamisha ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimshutumu Balozi wa Ujerumani nchini humo, Matthias Schauer, kwa madai ya kuhusika katika vitendo vya uchochezi. Hatua hiyo imechukuliwa huku UPDF ikidai kuwa baadhi ya balozi kutoka Ulaya wamekuwa wakiunga mkono...
20 March 2025
Kigali, Rwanda
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Uganda (UPDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amewasili Kigali, Rwanda.
Picha : Muhoozi Jenerali Kainerugaba alipowasili Kigali
Jenerali Kainerugaba amepangwa kufanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la...
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mshauri Mkuu wa Rais wa Uganda kuhusu Operesheni Maalum, hivi karibuni alitangaza kuwa ofisi yake itaanza kufanya ukaguzi wa vyombo vyote vya habari nchini, kwa mujibu wa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Yoweri Museveni.
Muhoozi alisema kuwa wakurugenzi wakuu wa...
My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.