je wajua?

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    Je wajua?

    Kampuni YouTube iliondoa trending video kwenye app Yao sasa trending utaipata kwenye app Yao nyingine inayoitwa YouTube music ambayo imeunganishwa na YouTube yenyewe ukiingia kwenye app Yao utaikuta kama hivi Ukiingia kwenye app utaikuta kama hivi sasa Kuna top charts na top artists yaani...
  2. JamiiCheck

    Je, wajua? Taarifa Potofu ni chanzo cha maamuzi mabovu. Daima pambana dhidi ya Upotoshaji

    Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii. Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na marafiki ujumbe huu ili wainuke kupambana dhidi ya TaarifaPotofu.
  3. 05CUBA

    Je, Wajua? Hebu cheki facts toka kwa wenzio hapa na utupe facts zako pia

    Je WAJUA kuwa MABARA (continents) yote duniani yanaanza na herufi sawa na kumalizika na herufi sawa pia ?? mfano huu hapa : 1. Afrika 2. Asia 3. Ulaya 4. Amerika (Kaskazini) 5. Amerika (kusini) 6. Australia 7. Antaktika Edit: kasoro bara moja tu la ulaya. Linaloanzia na u.
Back
Top Bottom