jamiiforums.com

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jamiiforums.com Inapatikana Bila VPN kwakutumia Operamini

    Wakuu kama heading inavyojileza nimejaribu kuingia JF.com, kupitia app ya Operamini naona inakubali vyema kabisa. Hivyo basi Kwa wale wenzangu wasiotumia VPN na wenye limited bundles tutumie Operamini
  2. JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Majukwaa kama JamiiForums.com yanaibua Sauti za Wananchi na kuongeza uwajibikaji

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na kuyafanyia kazi amesema kuwa majukwaa ya Kidigitali yanasaidia kuongeza uwajibikaji sambamba na kuisongeza...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  5. JamiiForums Tanzania Balozi wa Uswisi nchini Tanzania atembelea ofisi za JamiiForums

    Taarifa iliyosambazwa na viongozi wa JF inasema kwamba, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Didier Chassot ametinga kwenye ofisi za JF kwa lengo la kukutana na baadhi ya watendaji wa taasisi hiyo, akiwemo Mkurugenzi, Maxence Melo. JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com, unaoongoza kwa kutoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…