jamiiforum

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tafakari yangu juu ya Wasomi-Masikini wa JF

    Juzi kati nilikuwa nazungumza na madogo fulani wawili kuhusu Jamiiforums. Wale madogo wakasema kuwa hawajawahi kuisikia Jamiiforums!! Nilishangaa sana, ni madogo wenye kazi na wako active kwenye mitandao ya kijamii. Yaani mtandao upo tokea mwaka 2006 hawajawahi kuusikia!!? Licha ya hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Kuadhimisha Siku Kiswahili Duniani: Nini Mchango wa JamiiForum Katika Kukuza Kiswahili Duniani

    Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza. Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla. Karibuni kuchangia.
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Haya huishia katika maadhimisho?

    Ili maisha bora yaendelee kila kiumbe kinchopumua kinahitaji chakula kwanza ndipo mambo mengine yaweze kuendelea. Lakini siyo chakula tu bali inahitajika kutambua kwanza usalama wa hicho chakula na ubora wake ndipo uweze kukitumia kwa uhakika wa kukupa nguvu na afya ya kuendelea kuujenga mwili...
  4. JamiiForums Tanzania Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Yule mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5 anatarajiwa kupewa kitita hicho Jioni ya leo Oktoba 15, 2021 katika hafla fupi itakayoanza saa 12 jioni Jijini Dar. Mshindi wa Kwanza atapata Fedha taslimu Tsh. Milioni 5, Mshindi wa Pili Tsh. Milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…