Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.
Akizungumza kupitia kituo cha luninga cha Crown TV Septemba 05, 2025 Innocent Mangu kutoka Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa ya JamiiAfrica amebainisha kuwa katika mchakato wake JamiiCheck inashirikisha wananchi, pamoja na kujengea uwezo makundi yote namna ya kuthibitisha Taarifa na...
Ujumbe wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango alioutoa Agosti 11, 2025 katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika mkoani Kilimanjaro, unatukumbusha kuwa makini dhidi ya Taarifa Potofu mtandaoni hasa wakati wa uchaguzi.
Ni muhimu kuthibitisha uhalisia wa kila...
Kauli ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ya Julai 15, 2025 inawakumbusha wadau kuendelea kuzuia maudhui ya Upotoshaji yanayotengenezwa kwa kutumia Akili Unde kwani ni tishio kwenye maamuzi ya Wanachi hasa kipindi cha Uchaguzi.
Tembelea JamiiCheck.com ujifunze kubaini maudhui yaliyoundwa kwa...
Akizungumza Julai 15, 2025 katika mkutano wa pili wa umoja wa mabaraza ya habari Afrika, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango alibainisha uwepo wa Taarifa Potofu zisizodhibitiwa kama changamoto inayokabili vyombo vya habari kwani inaweza kushusha kiwango cha Uaminifu kwa wananchi
Ujumbe huo...
Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
jamiicheck
kufanya maamuzi
serikali za mitaa
serikali za mitaa 2024
taarifa potoshi
taarifa sahihi
uchaguzi
upotoshaji
upotoshaji 2024
vyama vya upinzani
wananchi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Wanahabari kuwa na kawaida ya kuhakiki taarifa kabla ya kusambaza kama ambavyo imekuwa ikifanywa na JamiiCheck.com
Msigwa amezungumza hayo wakati akichangia mada katika...
Wakuu,
Sijui ni upotoshaji wanaenda kukomesha kama wao ndio wapotoshaji wa kwanza! Tutaona mengi.
====
UVCCM yaindua kampeni ya Kijani Fact Scan kwaajili ya kukomesha upotoshaji
Mei 21, 2025, UVCCM Taifa imezindua rasmi kampeni kabambe ya kitaifa ya Kijani Fact Scan katika mkutano maalum...
Ili kuyabaini machapisho yanayotengenezwa na wapotoshaji Chunguza
1. Makosa ya kisarufi
2. Kama tarehe inarandana na Taarifa hiyo
3. Linganisha muundo wa chapisho na machapisho rasmi ya chanzo husika
4. Kama kuna mtu amenukuliwa mtandaoni, Thibitisha kama Kweli alichapisha au kusema hayo...
Kumbuka si kila Taarifa unayokutana nayo mtandaoni ni ya Kweli. Thibitisha kabla ya kuiamini na kuisambaza, kwani utaiweka jamii kuwa salama dhidi ya Taarifa Potofu.
Unaweza kuwasilisha Taarifa inayokupa mashaka katika jukwaa la JamiiCheck.com ili kupata msaada wa Uhakiki.
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.
Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa...
Matukio mbalimbali wakati wa warsha iliyoandaliwa na JamiiAfrica kuwakutanisha Wanahabari na Wadau wa Habari kupeana elimu kuhusu umuhimu wa kuripoti Habari na taarifa zenye maslahi ya Umma, lengo likiwa ni kuhamasisha Utawala Bora na Uwajibikaji, Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo ya siku moja...
Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
Wakati nyakati za Uchaguzi zinapokaribia ukiwemo wa Serikali za Mitaa 2024, ni rahisi kwa Mwananchi asiye na Taarifa Sahihi kufanya maamuzi yasiyo sahihi wakati akijiandaa na Michakato hiyo hadi Kupiga Kura.
Maamuzi yoyote Sahihi kwa Mpiga Kura huchangiwa zaidi na Taarifa Sahihi alizonazo kabla...
Julai 26, 2024, JamiiForums ikishirikiana na The Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari kama sehemu ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao.
Washiriki walifundishwa athari...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo amesema baada ya kutembelea Mikoa tofauti ya Tanzania Bara na Zanzibar, walipata wazo la kuja na mfumo wa uhakiki wa taarifa, ndipo ikawa mwanzo wa kuanzishwa kwa JamiiCheck ambayo ilizinduliwa Mwaka 2022
Maxence ameyasema hayo wakati akichangia...
Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo wanalalamika kukosa vyeti mpaka sasa na hawaoni ufatiliaji wowote ule kutoka kwa uongozi wa chuo hicho.
Jukwaa la Jamiicheck lipo mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa ili kujua kama ni kweli, uzushi au nadharia.
Hukuwezesha raia kufanya uhakiki kwa kuweka maudhui ndani ya jukwaa yanayotakiwa kuhakikiwa na kutoa mchango wa kuhakiki taarifa hizo kwa kile wanachokifahamu.
Je, ungependa...
Link zinazowekwa kwenye taarifa zinaweza kutumika kwa njia kadhaa kuchangia upotoshaji wa taarifa kwa kuwaunganisha wasomaji kwenye tovuti zisizoaminika au zinazojulikana ili kutangaza habari za uwongo. Hii inaweza kuongeza uaminifu wa habari hiyo kwa watu wasiojua ukweli.
Mathalani, 'links'...