jamii africa

Kingdom Bank Limited (Kenya), formerly Jamii Bora Bank, is a commercial bank in Kenya. It is one of the commercial banks licensed by the Central Bank of Kenya, the national banking regulator.

View More On Wikipedia.org
  1. Ziada Selukindo: Tunasubiri kwa hamu kuona kwamba wananchi wa Tanzania wanaelewa madhara ya rushwa katika jamii yetu

    Taasisi ya Jamii Africa kupitia jukwaa lake la JamiiForums @jamiiforums imeandaa mjadala maalum uliowakutanisha wadau kutoka serikalini, asasi za kiraia, pamoja na wananchi, kwa lengo la kujadili na kutoa elimu juu ya madhara ya rushwa katika jamii. Akizungumza na wanahabari Jijini Dar es...
  2. Matukio katika jamii zetu, Mabinti wawili wakipiga story ndani ya daladala

    Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala: Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ? Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄 Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔 Binti 2: Awe milionea ..! 🙄 Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔 Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄 Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
  3. Nawapongeza JamiiAfrica kwa kuandaa Mkutano wa Digital Content Creators. Nilifurahi kukutana na baadhi ya WanaJF akiwemo Mshana Jr

    Habari Wakuu! Tulizoea mikutano ya Sekta na tasnia zingine kama vile Wasanii wa muziki, wasanii wa bongomuvi, Waandishi wa habari, na juzi hapa tulishuhudia mkutano na tamasha la Standup Comedy. Hakukuwahi kuwa na mkutano au tamasha au Kongamano la waandaaji wa maudhui ya mtandaoni hapa...
  4. TAARIFA: Uzinduzi wa JamiiAfrica pamoja na Mpango Mkakati wake

    Kwa siku za hivi karibuni huenda, kupitia mitandao yetu ya kijamii umeona mwonekano wetu mpya kuanzia kwenye logo mpaka grafiki na ukapata maswali mengi kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye taasisi yetu. Habari njema ni kwamba sasa taasisi yetu imekua zaidi, na ili kuendana na kasi yetu na ya...
  5. M

    Hodi hodi Jamii Forums

    Salamu wakuu! Wadau naomba mnikaribishe kwenye nyumba ya Great thinkers kijana mwenye damu changa, mwenye mawazo yanye tija Kwa taifa. Asanteni sana.
  6. JamiiForums wabadilisha jina, Sasa kuitwa JamiiAfrica

    Taasisi ya Jamii Forums imebadili jina na sasa kujulikana kama Jamii Africa huku ikijikita katika kutanua wigo wa kuwahudumia wananchi na wadau mbalimbali katika wigo mpana na mkubwa zaidi na si Tanzania pekee ikiwa ni pamoja na kwenda sambamba na ukuaji wa teknolojia na kuja na suluhisho la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…