jambo gani

"Jambo Bwana" (in Swahili "Hello Sir") is a Kenyan pop song also popular in Tanzania. It was first released in 1982 by Kenyan band Them Mushrooms, and later covered by a number of other groups and artists, including Mombasa Roots, Safari Sound Band, Khadja Nin, Adam Solomon, Mani Kollengode, and the German group Boney M. Some versions come under different titles, such as "Jambo Jambo" and "Hakuna Matata".
"Jambo Bwana" has been largely adopted as a hotel pop song, targeting a tourist audience. Its lyrics includes several common phrases and greetings in Swahili, such as habari gani? nzuri sana ("how are you doing? very well") and hakuna matata ("no problem, no worries"). The original version by Them Mushrooms also included lines celebrating Swahili language, reggae music, Africa, and "mushroom soup" (a reference to psilocybin mushrooms).

View More On Wikipedia.org
  1. Ni jambo gani kwa sasa ambalo ni kero zaidi kwako na ungetaka litatuliwa kwa haraka?

    Ni kero gani kubwa zaidi kwako na ungetaka itatuliwa kwa haraka?
  2. M

    Tunapohitimisha mwaka 2025, Jambo gani zuri au baya limekutokea na hutolisahau maisha yako yote!

    Katika Dunia hii, mara tu unapojitambua, kuna mambo ambayo mtu yanaweza kukukuta ni vigumu kuamini macho yako kama binadamu mwenzako anaweza kukutendea Kuna wakati, kwa sababu ya mambo magumu na ya kushangaza ambayo binadamu mwenzako anaweza kukutendea, utakubaliana nami kwamba, moyo na akili...
  3. M

    Ni jambo gani lilikutokea ukaamini kweli Mungu yupo?

    Habari Wakuu, kuna mambo mengi yanatokea maishani katika namna ambayo ukijiuliza unafikia conclusion ya kuwa hili jambo kama si kwa uwezo wa Mungu lisingetokea. Una story yoyote ya hivyo? Karibu uchangie maoni kwenye huu mjadala.
  4. DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  5. Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

    Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali, 1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control, 2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk 3.Wengine wanaweza hata...
  6. Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  7. Ni jambo gani mtu akilisema unamuona kama ana samadi kichwani

    Ndugungu zangu katika imani! 1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani. 2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona hana ubongo bali samadi zimejaaa kumkichwa. 3. Nilimsikia mtu anasema October tunatiki nampeleka...
  8. Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  9. Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

    Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa. Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu" Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
  10. Jambo gani unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, kwanini?

    Kwema wakuu. Jambo gani umekuwa unataka kumwambia mtu lakini hujamwambia, huenda ni kumpa pole, kumuomba msamaha, kumshukuru kwa jambo, kumwambia jinsi gani unampenda. Share jukwaani ni jambo gani? Kipi kinakukwamisha kufanya hivyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…