Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini.
Akizungumza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Kitaifa ya Hayati Edward Sokoine uliofanyika...