Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, amesema Mahakama haiwezi kuendeshwa kwa utaratibu wa kusubiri maelekezo, bali inapaswa kuongozwa na uwajibikaji na kujituma kwa kila kiongozi mwenye dhamana.
Akizungumza Februari 25, 2026 jijini Dodoma katika Kikao cha Mwaka cha Majaji...