jahenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana Waandamana Redeemed Gospel Church Buruburu Wakidai Haki kwa Jahenda

    Kundi la vijana liliandamana nje ya Redeemed Gospel Church, Buruburu, Nairobi, Jumapili Oktoba 4, 2026, likidai hatua zichukuliwe dhidi ya wasichana wanaoonekana kwenye video iliyosambaa wakimnyanyasa msichana anayetambulika kama Jahenda. Video hiyo inaonekana kuonyesha Jahenda akiwa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Justice For Jahenda" - Hasira Yahamia Buruburu Baada ya Video Ya UnyanyasajI

    Kilichoanza kama video iliyosambaa mitandaoni sasa kimehamia mitaani. Vijana wamejitokeza leo huko Buruburu, Nairobi, wakielekea katika Kanisa la Redeemed Gospel Church, wakitaka hatua zichukuliwe kufuatia video inayomuonyesha msichana anayetambuliwa kama Jahenda akidhalilishwa na kundi la...
Back
Top Bottom