issa ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rungwe88

    Watanzania wapuuzieni UVCCM wanaojiita Wahaziri wa Kiislam ila (Wazingatieni Shura ya Maimamu inayoongozwa na Sheikh Issa Ponda)

    Naandika haya baada ya kuona Kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na UVCCM wakijiita masheikh au wahaziri wa kiislamu, UVCCM hao wamekua wakitoa shutuma nzito kwenda kwa Baraza la maaskofu Tanzania - TEC kwamba TEC ndio wanahusika na kuandaa maandamo yaliyofanyika siku ya uchaguzi mkuu 29 October...
  2. K

    Kwa aina ya mgombea wa CCM Temeke, jimbo litakwenda mikononi mwa ACT-Wazalendo, Shehe Issa Ponda kushinda mchana kweupe

    KWA AINA YA MGOMBEA WA CCM TEMEKE, JIMBO LITAKWENDA MIKONONI MWA ACT-WAZALENDO – SHEHE ISSA PONDA Katika harakati za kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu, macho mengi yameelekezwa katika majimbo yenye ushindani mkali – mojawapo likiwa ni Jimbo la Temeke. Kauli kali iliyotolewa na Shehe Issa Ponda...
  3. K

    GE2025 Shehe Issa Ponda kushinda jimbo la Temeke mchana kweupe - Mikiki katika kutetea wanyonge ndio turufu yake Temeke

    SHEHE ISSA PONDA KUSHINDA JIMBO LA TEMEKE MCHANA KWEUPE - MIKIKI KATIKA KUTETEA WANYONGE NDIO TURUFU YAKE TEMEKE - MAMBO MANNE KUMBEBA JIMBO LA TEMEKE. Uislamu unaweza kumbeba sana Shehe Issa Ponda kisiasa, hasa katika muktadha wa Jimbo la Temeke – na hapa kuna sababu kuu nne za msingi: 1...
  4. W

    PreGE2025 Sheikh Issa Ponda: Tunakuwa na taifa la namna gani kama mtu anachukuliwa tu nyumbani kwake na kwenda kuuliwa?

    Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani kama matukio haya yanaendelea na wanaofanya hivyo wana zana kabisa. Aidha ameeleza kuwa matukio...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Shekh Ponda Issa: Ajabu Tanzania ni uwepo wa watu wanao teka, kutesa na kuuwa hata viongozi wa Dini lakini hawakamatwi

    Ajabu Tanzania ni uwepo wa watu wanao teka, kutesa na kuuwa hata viongozi wa Dini lakini hawakamatwi. (Wanamiliki magari, silaha kubwa na ndogo). Tunajiuliza ni usalama na amani ipi vinayozungumzwa Tanzania. Taifa linaelekea wapi!
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda: Ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura, unatumia haki yake ya Kikatiba

    Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam: Ulazima na Umuhimu uliokuwepo kwa Mwananchi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura ni kupata na...
  7. W

    Shekhe Ponda: Hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya watawala wao

    Shekhe Ponda amesema kuwa suala la yeye kuitwa mtata halimshangazi kwakuwa anasimamia haki na lengo lake ni kutafuta haki na ndiyo maana hata Mtume Muhamad na Yesu walionekana watata mbele ya watawala wao kwa sababu ya haki.
Back
Top Bottom