israeli

Israeli Jews or Jewish Israelis (Hebrew: יהודים ישראלים, romanized: Yehudim Yisre'elim) are Israeli citizens and nationals who are Jewish through either their Jewish ethnicity and/or their adherence to Judaism. The term also includes the descendants of Jewish Israelis who have emigrated and settled outside of the State of Israel, where they are predominantly found in the Western world. The overwhelming majority of Israeli Jews speak Hebrew, a Semitic language, as their native tongue.
Israeli Jews trace their origins back to the ancient Israelites and Hebrews, and, as a population, are a least partially descended from ancient Middle Eastern Semitic populations. The Jewish population in Israel comprises all of the communities of the Jewish diaspora, including Ashkenazi Jews, Sephardi Jews, Mizrahi Jews, Beta Israel, Cochin Jews, Bene Israel, Karaite Jews, and many other groups. The Israeli Jewish community manifests a wide range of Jewish cultural traditions and encompasses the full spectrum of religious observance ranging from the Haredim, who observe Orthodox Judaism, to the Hilonim, who maintain a secular Jewish lifestyle. Among Israel's Jewish population, over 25 percent of schoolchildren and over 35 percent of all newborns are of mixed Ashkenazi and Sephardi/Mizrahi descent, and these figures have been increasing by approximately 0.5 percent annually. Over 50 percent of the entire Israeli Jewish population is of at least partial Sephardi/Mizrahi descent.Despite the ongoing debate over the question of determining Jewish identity among Israeli Jews, the Jewish status of a person, which is considered a matter of nationality by the Israeli government, is registered and controlled by the Israeli Interior Ministry, which requires a person to meet the Halakhic definition to be registered as a Jew. In a December 2017 estimate by the Israel Central Bureau of Statistics, the Israeli Jewish population stood at around 6,556,000 people, comprising 74.6 percent of the total population of Israel (if the Arab populations in East Jerusalem and the Golan Heights are included).A 2008 study by the Israel Democracy Institute shows that a plurality of Israeli Jews (47 percent) identify as Jews first and as Israelis second, and that only 39 percent consider themselves to be Israelis first and foremost.Jews living in the Holy Land prior to the establishment of the State of Israel in 1948 were commonly referred to in English as "Palestinian Jews" (in reference to the Palestine region and its British Mandate) and in Hebrew as HaYishuv HaYehudi Be'Eretz Yisra'el (lit. 'The Jewish Community in the Land of Israel').

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kwa nini Israeli wanawapiga Parestina kila wanapojisikia?

    Naombeni mwenye jibu hili? Huku wakiwa hawana makazi,wala chakula na Dunia imekaa kimya?
  2. T

    Israeli ni simba dume katika kundi la Nyumbu

    Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani. Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa...
  3. Kwanini Wakristo wanaishabikia sana Israeli? Sababu hizi hapa

    Kwa nini Wakristo wanawasifia Waisraeli? Kwa nini wanawatetea, wanawaombea na hata kuwatakia baraka? Je, si hao hao waliomkataa Yesu na kumsulibisha? Ukweli wa kibiblia ni huu: Waisraeli ni Wakristo watarajiwa. Ingawa kwa sasa hawamkiri Yesu kuwa ni Masihi, Biblia inaonyesha kuwa watamkiri...
  4. Iran, ametangaza: Hakuna tena mazungumzo ya amani na Marekani au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu

    Wanaukumbi. 🚨🇮🇷 MAKOMBORA YANAPOSONGA 🚨 Picha zinazosambaa sasa zinaonyesha Iran ikituma makombora makubwa ya balestiki chini ya usindikizaji mzito. Tehran ametangaza: "Hakuna tena mazungumzo ya amani na Merika au Israeli - mazungumzo sasa yanafanyika kupitia nguvu." 📢 NI ISHARA GANI HII: ⚠️...
  5. B

    Je, USA kuivamia Iran ili kumuunga mkono Israel kwenye vita inayoendelea ni mwanzo WW3

    Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita. Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
  6. Z

    Kwa shambulio hili la Marekani kwenye vinu vya nyuklia vya Irani limehitimisha rasmi vita kati ya Israeli na Irani

    Amesikia Rais wa Marekani Donald Truph akisema hivyo mara baada ya kukamilisha zoezi, na kusema kuwa sasa ni muda wa amani, vita imeisha. Binafsi nimefarijika kusikia hivyo, maana vita sio kitu kizuri. Wananchi wa Irani na Israeli walikuwa wanahaha. Bora vita imeisha.
  7. Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

    Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO...
  8. Inatosha sasa, huyu Mtoto wa mwisho anadeka sana

    Kwanza Muumba kawadekeza sana, licha ya wao kuwa watukutu haswa, kumkosea mara kadhaa lakini bado aliwakingia kifua na kuwarudishia miaka na mali zao zilizoliwa na nzige. Hapa alaumiwe aliye juu. Pili, baba yao Jacob alikuwa anashinda jikoni na mama yake, kazi aliyokuwa anaijua ni kudeka deka...
  9. Kama Kweli Mungu ni Mungu wa Israeli, Kwanini Anaiacha Israeli Inapata Vipondo?

    Swali hilo limekuwa likiulizwa na watu wengi, hasa katika nyakati hizi tunapoona Taifa la Israeli likipitia mateso, vita, au mashambulizi makali. Huenda hata wewe unajiuliza: “Je, ni kweli Mungu bado ni Mungu wa Israeli? Kama ni hivyo, mbona hawalindi?” Kwa jicho la kibinadamu, hali hii inaweza...
  10. Ni nini faida ya kushabikia mauaji ya Waarabu yanayofanywa na Israeli ?

    Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi. Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana. Mauaji yanayofanyika huko yanaumiza moyo na niwazi kwamba Hivi vita vitadumu maisha yote hata mwisho...
  11. Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini? Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran? Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
  12. U

    Shekeli ya Israel yapanda thamani huku wawekezaji wakitathmini hali ya baada ya mzozo na Iran

    Shekeli ya Israel imepanda kwa kasi leo, huku soko la hisa na hati fungani likionyesha ongezeko, wakati wawekezaji wakianza kutathmini mazingira mapya ya hatari ya muda mrefu kwa mali za Israel baada ya mzozo na Iran kuingia hatua mpya. Ifikapo saa 19:42 kwa saa za Afrika Mashariki (GMT+3)...
  13. U

    Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime

    21 minutes ago Iran says Israeli strike hit hospital in Kermanshah, calls it a war crime Iranian Foreign Ministry spokesman Esmaeil Baghaei said Monday that Israeli forces targeted Farabi Hospital in the western city of Kermanshah, calling the attack a “grave violation of international law” and...
  14. Kwanini ni rahisi sana kwa Israeli kuwauwa viongozi wowote hadi wale waandamazi wa Iran?

    Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
  15. Z

    Irani yazionya USA, UK na Ufaransa kuacha kuisaidia Israeli kwenye vita

    Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel. Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika...
  16. U

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes

    Iran confirms two more senior generals killed in Israeli strikes By AFP Today, 10:48 am Two senior Iranian generals have been killed in Israeli strikes, state television reports, as Israel kept up its assault on Iran’s military and nuclear capabilities. General Gholamreza Mehrabi, deputy head...
  17. Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi. "Heri wapatanishi...
  18. M

    Tazama midege ya Israeli ilivyopaa na kurudi salama bila kumwamsha Ayatola

    Oparesheni iliyopewa jina la "amsha Simba" imekuwa gumzo duniani kote jinsi ilivyotekelezwa kwa ufundi wa Hali ya juu huku ikiepusha vifo vingi vya raia Ayatollah kabaki mdomo wazi na midoli yake aliyopewa na Mrusi.
  19. Jeshi la Israeli lafanya ‘mashambulizi ya onyo’ kwa wanadiplomasia wa Kifaransa na wengine waliotembelea Ukingo wa Magharibi

    Jeshi la Israel Lafyatua Risasi kwa Ujumbe wa Kidiplomasia Katika Mji wa Jenin Jeshi la Israel siku ya Jumatano lilifyatua risasi kuelekea ujumbe wa wanadiplomasia wa kikanda, Ulaya na nchi za Magharibi waliokuwa wakitembelea mji wa Jenin ulioko katika Ukingo wa Magharibi, na kusababisha...
  20. Kibwana Shomary na Israeli Mwenda haya mmeshamaliza kumpiga Mwiba wa maana Yao Kwasi sasa nasubiria kuona kati yenu nani atampiga Mwiba mwenzake

    Watoto wa Morogoro mnaocheza Mpira mnaogopeka sana kwa Miba kutoka kwa yule Mtaalam wenu Mkuu wa Matombo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…