israel

  1. JamiiForums Tanzania Vikosi maalum vya Israel vyavamia 'eneo la makombora' nchini Syria

    Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki. Vyombo vya habari vya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je Umeisha Isoma "Asserson Report on the BBC Bias against Israel, when reporting on the Israel/Hamas War?

    Ili nisiwachoshe, naona nibora niwawekee screenshots za cover page na page nyingine mbili ambazo zinafichua 1. BBC ktk taarifa zao waliepuka kutaja kuwa kati ya waliouawa walikuwepo askari wa Hamas 2. BBC waliepuka kutaja kuwa Hamas ina wapiganaji miongoni mwao ambao ni vijana wenye umri...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Israel imefanya mashambulizi kadhaa ya anga kusini mwa Lebanon na kumuua kamanda wa kikosi maalum cha Hezbollah

    Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah. Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah cha Radwan Force, aliuawa katika shambulio katika kijiji cha Qaraoun katika wilaya ya Beqaa...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi imeanza mpaka wa Jordan na Israel.Walinzi watatu wa Israel wauawa.

    Walinzi watatu wa Israel wameuawa kwa kupigwa risasi kutokea upande wa mpaka wa Jordan kwenye kivuko pekee cha daraja linalounganisha ukingo wa magharibi wa Palestina na Jordan. Uchunguzi umeanza kubaini tukio hilo kwenye daraja lijulikanalo kama Allenby Shooting attack at the West Bank-Jordan...
  5. JamiiForums Tanzania Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

    Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu. Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
  6. JamiiForums Tanzania Aysenur Ezgi, Mmarekani, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na Wanajeshi wa Israel

    Wanakumbi. Aysenur Ezgi, Mmarekani mwenye hadhi ya Uturuki, amefariki dunia baada ya kupigwa risasi kichwani na wanajeshi wa Israel katika mji wa Beita. Aysenur alipigwa risasi kichwani alipokuwa akishiriki maandamano ya kupinga upanuzi wa makazi. Je Joebiden ataitisha mkutano wa baraza la...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Israel ni Taifa la Mungu?

    Niliwahi kuhudhuria ibada ambayo mchungaji Peter John wa Kanisa la Waadventista Wasabato alihubiri na kufundisha kuhusu Taifa la Mungu ndio nikaelewa vyema kuhusu suala la Israel (nitajitahidi kutafuta lile hubiri kwenye youtube natumai itatusaidia wengi kwani tangu baada ya hapo uelewa wangu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Aomba radhi Wananchi baada ya Mateka kukutwa wameuawa!

    Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
  9. JamiiForums Tanzania Israel yatakiwa kujihadhari na kilichoipata Marekani nchini Afghanistan

    Ijumaa iliyopita Marekani ilikuwa inaadhimisha kujiondoa rasmi nchini Afghanistan baada ya vita dhidi ya ulichokiita ugaidi vilivyochukua miaka 20. Kuangukia mikononi mwa Taliban kwa mji wa Kabul kulitanguliwa na kuuliwa kwa askari 13 wa Marekani pamoja na 170 wa jeshi la Afghanistan mnamo...
  10. JamiiForums Tanzania Israel haina hamu na mateka mpya waliyesema wamemuokoa

    Mateka wa Israel aliyetajwa kwa mbwembwe nyingi kwamba aliokolewa hapo juzi amekuwa kama yule bibi wa kifaransa aliyeachiliwa huru na wanamgambo wa Mali miaka miwili iliyopita.Bibi huyo alimfanya Macron afupishe muda wa kumpokea uwanjani pale alipowasifia wanamgambo wa Mali na kuahidi kurudi...
  11. JamiiForums Tanzania ISRAEL kuikalia palestina Milele

    Wayahudi wana haki waliyopewa na Mungu kwa nchi hii. Kiongozi mmojawapo wa vyama viwili vya siasa kali za mrengo wa kulia, vinavyounga mkono walowezi, ambavyo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alivileta katika muungano wake wa serikali baada ya uchaguzi wa 2022. Smotrich anahudumu kama waziri wa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  13. JamiiForums Tanzania US na Israel wanatufundisha kuwa na marafiki/ndugu wanaokufaa wakati wa shida tu

    Hadi leo karibu 1/3 ya jeshi lote la navy la US limeshaizunguka Iran kwa lolote ikitokea kajaribu kuishambulia Israel. Watafiti wanasema US imetoa karibu meli zake zote Pacific na zimeenda kukaa kimkakati kwa lolote karibu na iran na israel. Huu ndio urafiki, huu ndio udugu. Kwa mujibu wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wale wanaoilaumu Israel kuwa ni serikali ya kibaguzi, picture hii ya waislam wakiwa huru na imani yao ndani ya Israel inawafundisha nini?

    https://x.com/JewishWarrior13/status/1828752674373935573
  15. JamiiForums Tanzania Andiko hii 1 Samweli 15 linatoa picha kinachoendelea huko Israel

    Sitaki kujua sana kuhusu huyu Mungu wa namna hii ila maagizo yake kwa watu wake hayapaswi kuendelea kuchukuliwa kawaida kwani yanahamasisha na kuchochea mauaji makubwa yanayo tekelezwa na Netanyahu na genge lake. Kwa nini nimemtaja Netanyau katika hili ? Kwa sababu yeye kama waziri mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Muarabu Muislamu wa Israel alietekwa na Hamas arejea kwenye familia yake baada ya wanajeshi wa Israel kuhatarisha maisha kumuokoa ukanda wa Gaza

    Jina: Kaid Farhan al-Qudi, Baba wa watoto 11 Dini: Muislamu Alitekwa October 7 mwaka jana Uraia: Israel Asili:Muarabu Kikosi cha Shayetet 13, Brigedi ya 401 kilidiriki kufanya maamuzi magumu yenye kuhatarisha maisha yao kwenda Gaza ili kumuokoa Kaid Farhan al-Qudi kwenye maeneo hatari...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hezbullah Wamemuwa The Commender of Israel's Unit 8200 The Worlds Most Powerful Surveillance Agencies

    Kumbe ule music wa Hezbullah kuwauwa kuku kwenye banda kulikuwa na majogoo wakubwa wamenono 😄 The commander of Israel’s Unit 8200 is a closely guarded secret. He occupies one of the most sensitive roles in the military, leading one of the world’s most powerful surveillance agencies, comparable...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Yahya Sinwar kuteuliwa kuiongoza Hamas, Israel inapata tabu sana

    Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo. Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq, Iran na Yemen lakini wamemshindwa mwanaume yupo Gaza Km 30 kutoka boda ya Israel na Palestine...
  20. JamiiForums Tanzania Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo lna rubani ikitua Israel kutoka Lebanon

    Wanaukumbi. Video nyingine inaonyesha shambulio la ndege isiyo na rubani ya Hezbollah dhidi ya Israel. Jumla ya ndege 3 zisizo na rubani zilifikia lengo lao. Israel wanasema walizuia mashambuli kutoka Lebanon, Israel wamepiga marafuku waandishi wa habari kupiga picha maeneo yanayoshambulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…