israel

  1. JamiiForums Tanzania Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

    Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon. ======= Hezbollah official Ibrahim Aqil in an undated photo. (US Department of State) A source close to Lebanon’s...
  2. JamiiForums Tanzania Hizbullah waanza kutumia ile silaha yao kuzima umeme Israel

    Siku mbili baada ya mashambulio ya kielektronik nchini Lebanon yaliyofanywa na Israel na kufuatiwa na mashambulizi ya maroketi nchini Lebanon,hizbollah nao wamefanya shambulizi la aina yake lililolenga mifumo ya umeme ndani ya Israel Baada ya mashambuli ya kuripuka kwa simu na walkie talkie...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Israel yashambulia Lebanon kwa ndege za kivita na makombora. Maghala ya silaha na vituo vya kurushia roketi zaidi ya 100 zalipuliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya "kigaidi," ikiwa ni pamoja na ghala la silaha. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema vizindua...
  4. G

    JamiiForums Tanzania wadau wa IT wa jamiiforums, Israel ipo kwenye level zipi kwenye masuala ya teknolojia za udukuzi na mambo ya cyber ?

    Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location. Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua...
  5. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  6. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  7. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 19 wa Iran waliuawa na wengine 150 kujeruhiwa kwenye shambulizi la Israel la kutumia elektroniki

    Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard warriors...mnapigwa kote, mpaka sasa pale Gaza idadi ya mizoga yenu inasoma zaidi ya 40,000 Mlilianzisha...
  8. JamiiForums Tanzania Israel imewarejesha enzi za ujima magaidi wa Hezbollah

    Hezbollah sasa hivi wamelazimishwa wasitumie tena simu za mkononi! Daah! Sasa wataishije?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hebollah inafikiria kutumia njiwa na simu za Kamba kuwasiliana kwa hofu ya Israel kudukua mawasiliano, location na kuweka vilipuzi kwenye simu

    UPDATE: Jana zimelipuka pager, leo zimelipuka radiocall ewe njiwa ewe njiwa peleka salamu x2 umueleze afahamu kwamba nnapata tabu, hali yangu mahamumu maradhi yamenisibu, Sehemu kubwa ya mission za Israel kufanikiwa kuwaangamiza Hamas ilikuwa ni kudukua simu zinazotumia internet au minara ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

    Wadau hamjamboni nyote? Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake Taarifa kamili hapo chini: Hassan Ammar) Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to...
  11. JamiiForums Tanzania Shambulio la kielektroniki (pagers) la Israel kwa Lebanon ni la uwoga na kuchanganyikiwa kivita

    Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu. Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Iran na Hezbollah wamegundua teknolojia mpya ya Mawasiliano ambayo Israel kamwe haitawadukua tena.

  13. G

    JamiiForums Tanzania Hezbollah waliogopa matumizi ya simu kwa hofu ya Israel kuhack mawasiliano, vifaa mbadala waliuziwa na Israel bila kujua, wamestuka baada ya shambulio

    Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia mawimbi wa redio badala ya minara ya simu au internet. Wasilojua ni kwamba walikuwa wamefanya kosa...
  14. JamiiForums Tanzania Israel yajitwisha mzingo mwengine wa malengo ya vita. Huu ni mzito zaidi kuliko ya Gaza

    Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo. Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi kwani wamewekwa kwenye maeneo kama hoteli kwa malipo ya serikali.Vile vile maeneo yaliyohamwa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Israel itawapa makaazi takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma INYALA YAWAYA MAKWENJE DARAJANI SHAMWENNGO IMEZU MWASHOMA ITEWE NYASHISHI NGUDU kIBOSHO Na maneo...
  16. JamiiForums Tanzania Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Hongerani Hauth wa Yemen kwa kushambulia nyasi za Israel na kufanikiwa kufyeka Eneo kubwa

    Wakati mwingine nafikiri Israel inaachilia makombora yasiyo na madhara ili inapolalamika inavamiwa jumuiya ya mataifa iwaelewe vizuri Pia inaachia makombora yasiyo na madhara makubwa ili ikilipa kisasi mataifa mengine yaweze kuelewa nani mchokozi na mkorofi Kwa Sasa Yemen na Lebanon ikipokea...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la israel kuiavamia Lebanon

    Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza opereshenk nchini Israel. Siku ya leo jeshi la Israel limepeperusha vikaratasi vikiwasihi wananchi kuondoka...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani kashindwa kuikinga Israel dhidi ya ICBM

    Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora yamesafiri Kilomita 2000 toka Yemen Hadi kwenda kuichakaza TelAviv.. Netanyahoo mavi yanagonge kyupi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

    Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii. https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67 Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄 Imefika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…