iran

  1. Mafuta kupanda bei baada ya israel kurusha makombora Iran

    Oil and gold prices have eased after Iranian authorities appeared to downplay reports of an attack from Israel. Brent crude, the international benchmark, fell after jumping briefly to over $90 a barrel after reports emerged of an attack. Gold briefly came close to a record high before settling...
  2. Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  3. Mpango wa Iran Kutengeneza Slaha za Nuclear Kujihami dhidi ya Israel

    Kwa sasa Iran ipo na kila sababu ya kuwa na slaha za Nuclear kwa lengo la kujihami. Kila Israel wanavyozidi kuwashambulia wenye wanazidi kuwa na sababu ya ku milki silaha hizo. Israel anazidi kupunguza ushawishi dunianyi kila siku. Kuna taarifa hii How close is Iran to having nuke weapons...
  4. Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

    Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran...
  5. Kiwewe kimezipata nchi za kiarabu. Huku Iran akiahidi kuanza na vituo vya nyulia vya Israel. Viongozi wao wapigiana simu kama watoto

    Wakati maelfu ya wapalestina wakiuliwa kama kuku,viongozi wa nchi za kiarabu walipiga kimya na kula biriani zao wakiona hayo hayawahusu. Hata diplomasia zao na kulaani kulikuwa kwa njia za kinafiki. Baada ya kumfanya Netanyahu ajiamini kupiga apendapo na kuamua kuipiga Iran na Iran nayo...
  6. Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki' - Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia "Mapitio ya mafundisho yetu ya...
  7. Iran na Israel nani Mwamba

    Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja. IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA? Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la kijeshi la nchi ya Iran,ikishirikiana na kikundi kutoka nchi ya Iraq(Iraqi Popular Mobilization...
  8. Marekani yaruhusu Israel ipige Rafah kama itaihakikishia haitapiga Iran

    Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran isisambaratishwe, lile taifa ni la kigaidi kwamba bora likabaki kama taifa kuliko kuacha magaidi ya...
  9. Majaribio mawili ya Israel kulipiza kisasi kwa Iran yameshakwama ndani ya wiki moja. Hasira zake zinaishia Gaza

    Tangu Iran iishambulie Israel haijafika wiki moja. Ndani ya muda kwa hasira ilizokuwa nazo Israel na namna ilivyovuliwa nguo hadharani tayari imejaribu kutaka kurudisha kipiga lakini hatimae ikashindikana.Sasa inatarajiwa itakuwa siku ya Jumatatu ijayo. Katika kipindi hicho cha ndani ya wiki...
  10. Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

    Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa mwisho, baba na mtoto wake walitokana na mapinduzi ya ufalme halisi wa muda mrefu wa Qajar mwaka 1925...
  11. Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

    Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita. Iran katuacha vinywa wazi jumamosi...
  12. The decision has been made by Israel to attack Iran

    The decision has been made by Israel to attack Iran. Timing is now the issue for the attack 17 APRIL 2024 An Israeli strike against Iran and their Nuclear facilities may be just hours away. Word out of Israel is "the Decision has been made." Iran on it's part has activated all defense...
  13. Hofu yazidi kutanda, Iran yaanza kutorosha wakuu wake kutoka Syria

    Tatizo Israel hufanya baadaye mnapata matokeo, hivyo haijulikani watafanya wapi au kivipi, hofu imeanza kutanda kote, Iran imetorosha makamanda wake kutoka Syria, pia viongozi wa Hezbollah wameanza kufichwa....... Iran pulling senior officers out of Syria As part of those preparations, Iran has...
  14. Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili nyeti za jeshi la Isreael. Kati ya hayo makombora matano yalipiga kambi ya Nevatim kwenye jangwa la...
  15. VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  16. VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili.

    Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab...
  17. Iran ilitumia silaha aina mpya kisiri na zote zilipigwa chini kizembe, aibu sana

    Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa... Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
  18. Jordan yaanza kujiweka mbali na Israel, imesikia onyo la Iran

    Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme imesema haikufanya hivyo kuitetea Israel bali ilikuwa ni kuwalinda raia wake dhidi ya vifaa...
  19. Mamia ya raia wa Israel waikimbia nchi yao ,hofu ya vita na Iran

    Kutokana na mgogoro mkubwa ulioibuka kati ya Iran na Israel pia uvamizi wa makombora na drones za Iran ndani ya ardhi ya israel kumekua na hofu kwa raia wa Israel hivyo kuikimbia nchi yao
  20. Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

    Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel huwa hatangazi. Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo. Iran imepoteza majemedari saba. Israel imepoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…