iran

  1. JamiiForums Tanzania Kamanda wa Iran ashukuru kwa kupata taarifa za kijasusi kutoka Israel!!

    Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami: Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi. Taarifa hizo zinasaidia katika juhudi za kuliangamiza taifa la Israel. Pigo hili la kijasusi sio la...
  2. JamiiForums Tanzania Silaha za magendo kutoka Iran kwenda kwa Hezbollah zakamatwa huko Homs,Syria

    Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon. Ikumbukwe kuwa utawala mpya wa Syria unapinga kabisa nchi hiyo kuwa njia ya kusafirisha silaha kwenda...
  3. JamiiForums Tanzania Iran imefanikiwa kuvuna taarifa nyingi za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel

    Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video) Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
  4. JamiiForums Tanzania Iran inaweza kushambuliwa wakati wowote- Al Arabiya TV

    Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
  6. U

    JamiiForums Tanzania Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

    Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

    Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya...
  8. JamiiForums Tanzania Iran kwa sasa wana uwezo wa kutengeneza mabomu 10 ya Nyuklia kwa wakati mmoja

    Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6. Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu ya nyuklia 10 kwa haraka. ===================== Iran has continued to enrich uranium upto 60% and...
  9. JamiiForums Tanzania Je Israel itaishambulia Iran?

    Netanyahu amesema kama mazungumzo ya US na Iran yatashindikana juu ya Iran kuachana na urutubishaji wa mabomu ya nyuklia basi Israeli itashambulia vinu vya nyuklia vya Iran upesi iwezekanavyo. Ayatollah Khomenei kasema hawezi kukubaliana na hoja za Marekani za kuachana na utengenezaji wa zana...
  10. JamiiForums Tanzania Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani

    Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Siasa Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei atiliashaka mazungumzo ya nyuklia ya Marekani

    Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha urani. Hatujui iwapo yatasababisha mafanikio yoyote. Hatujui kitakachotokea, Ayatollah Ali...
  12. JamiiForums Tanzania Iran bado Inasumbuka na mvua za Fasha-rasha!!!

    Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea kuinyeshea iran wakati mvua za masika zikikaribia. “Yajayo yanafurahisha sana” Webabu mdogoye Adiosamigo...
  13. JamiiForums Tanzania Je Wajua Iran unaweza kuuza viungo vyako vya miili?

    Ndio, nchini Iran unaweza kisheria kuuza baadhi ya viungo vya mwili, hasa figo. Iran ndiyo nchi pekee duniani ambako uuzaji wa figo ni halali na unadhibitiwa na serikali. Mfumo huu uliwekwa ili kupunguza uhaba wa figo kwa wagonjwa wanaohitaji kupandikizwa. Jinsi inavyofanya kazi Iran...
  14. JamiiForums Tanzania Senata Amerikia: Israel sasa ruksa kumpasua Iran hit them Harder and harder do want you want to protect yourself after US Distance to strikes Houthi.

    Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda' Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa watiifu wakuu wa Trump katika baraza la juu la Bunge la Merekani, amesema Israeli kwa sasa ipo peke...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi kikosi cha makomandoo Mainjinia wa weledi mkubwa Iran kukarabati uwanja wa ndege Sanaa Yemen ndani ya saa 24, mayahudi hawaamini kinachotokea

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni tetesi yasemekana kikosi hicho kinatumia teknolojia kubwa ya kipekee kuwahi kutokea duniani na hata mayahudi wameshangazwa sana
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

    Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja. Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo. Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Iran yaonyesha hadharani makombora yake mapya ya hatari uwezo kupiga kilometa 1,200, yaionya us na Israel wasithubutu kuishambulia

    Wadau hamjamboni nyote? Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200 Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran mkabisha eti Muisrael ana akili kumbe hamna kitu Siku yeyote kuanzia Sasa Wapalestina watatwaa ardhi yao...
  18. JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine Iran, kuna mtu anachagua pakujipigia kila siku

    Hizi ni mbinu za kuonyesha hamna popote ambapo hapafikiki... uweo upo, nguvu zipo na nia ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua za rasha-rasha zinazidi kuikumba Iran

    Kufuatia ripoti kutoka Iran: Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran. Kando ya mtambo huo wa kuzalisha umeme kuna majengo na ofisi za kampuni ya "Qala Electric", ambayo inashirikiana na...
  20. JamiiForums Tanzania Iran yaendelea kupoteza vyanzo vya Mapato!!!

    Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…