iran

  1. Je Wajua Iran unaweza kuuza viungo vyako vya miili?

    Ndio, nchini Iran unaweza kisheria kuuza baadhi ya viungo vya mwili, hasa figo. Iran ndiyo nchi pekee duniani ambako uuzaji wa figo ni halali na unadhibitiwa na serikali. Mfumo huu uliwekwa ili kupunguza uhaba wa figo kwa wagonjwa wanaohitaji kupandikizwa. Jinsi inavyofanya kazi Iran...
  2. Senata Amerikia: Israel sasa ruksa kumpasua Iran hit them Harder and harder do want you want to protect yourself after US Distance to strikes Houthi.

    Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda' Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa watiifu wakuu wa Trump katika baraza la juu la Bunge la Merekani, amesema Israeli kwa sasa ipo peke...
  3. U

    Tetesi kikosi cha makomandoo Mainjinia wa weledi mkubwa Iran kukarabati uwanja wa ndege Sanaa Yemen ndani ya saa 24, mayahudi hawaamini kinachotokea

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni tetesi yasemekana kikosi hicho kinatumia teknolojia kubwa ya kipekee kuwahi kutokea duniani na hata mayahudi wameshangazwa sana
  4. M

    Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

    Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja. Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo. Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua...
  5. U

    Iran yaonyesha hadharani makombora yake mapya ya hatari uwezo kupiga kilometa 1,200, yaionya us na Israel wasithubutu kuishambulia

    Wadau hamjamboni nyote? Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200 Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran mkabisha eti Muisrael ana akili kumbe hamna kitu Siku yeyote kuanzia Sasa Wapalestina watatwaa ardhi yao...
  6. Mlipuko mwingine Iran, kuna mtu anachagua pakujipigia kila siku

    Hizi ni mbinu za kuonyesha hamna popote ambapo hapafikiki... uweo upo, nguvu zipo na nia ipo...
  7. Mvua za rasha-rasha zinazidi kuikumba Iran

    Kufuatia ripoti kutoka Iran: Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran. Kando ya mtambo huo wa kuzalisha umeme kuna majengo na ofisi za kampuni ya "Qala Electric", ambayo inashirikiana na...
  8. Iran yaendelea kupoteza vyanzo vya Mapato!!!

    Iran inapoteza chanzo kingine muhimu cha mapato: Iraq itaacha kuagiza umeme kutoka Iran kutokana na vikwazo vya Marekani. Iraq imewasha njia mbadala za umeme kuagiza umeme kutoka Jordan na Uturuki.
  9. Donald Trump atoa tamko Iran yaweweseka ki-uchumi!!

    Rais Donald Trump alitangaza kwamba ununuzi wote wa mafuta ya Iran na bidhaa za petrochemical lazima usitishwe mara moja. Alionya kuwa nchi yoyote au mtu yeyote anayeendelea na biashara hiyo atakabiliwa na vikwazo vingine, na hivyo kuwazuia kufanya biashara na Marekani. Tamko hili linafuatia...
  10. Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  11. Mlipuko mwingine watokea Iran

    Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The company, Avanar Persian, is reported to be a fireworks and explosives manufacturer based in Meymeh...
  12. Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  13. Iran yapokea mashambulizi makali ya mitandaoni - cyber attack

    Mambo mengi muda mchache, yetu macho ila Mosad bana... ================ Iran repelled a large cyber attack on its infrastructure on Sunday, said the head of its Infrastructure Communications Company, a day after a powerful explosion damaged its most important container port and another round of...
  14. Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  15. Russia yasaidia Iran kuzima moto kwenye Bandar Abbas!!

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiagiza Wizara ya Hali ya Dharura kupeleka ndege kadhaa za kuzima moto za Beriev Be-200ES, pamoja na ndege ya usafiri ya Il-76TD, kuelekea kusini mwa Iran ili kusaidia juhudi za kuzima moto kufuatia mlipuko wa jana kwenye bandari ya Bandar Abbas kwenye Ghuba ya Uajemi.
  16. Mbunge wa Iran aishutumu Israel kwa mlipuko wa Bandar Abbad

    Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas: "Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
  17. IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

    Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!! Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu zima moto huo...
  18. Mlipuko mkubwa kwenye bandari ya Shahid Rajaee huko Iran!!!

    BREAKING: Mlipuko mkubwa wa ajabu ulitikisa bandari ya Shahid Rajaee ya Iran - ardhi ilitikisika na Kusik Ikea maili nyingi kutoka hapo. Utawala wa Ayatollah haujatoa taarifa yoyote kuhusu mlipuko huo. Kuna uwezekano mkubwa hujuma zimefanyika kwenye bandari hiyo au kuna wengi wanahisi huenda...
  19. Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  20. Trump asema Netanyahu hataweza kuikokota Marekani kupigana na Iran

    Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa ! Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…