ipu arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa IPU Arusha wafungua fursa kwa wafanya biashara na wahifadhi wa utamaduni

  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wageni wafurahishwa na mapokezi jijini Arusha mkutano wa IPU

    Baadhi ya Wabunge na Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU, wameeleza kufurahishwa na mapokezi wakati wakiingia nchini kushiriki mkutano huo wa 153 unaotarajiwa kuanza Oktoba 5-9, 2026 pamoja kuipongeza Serikali na Bunge la Tanzania kwa maandalizi makubwa ya Mkutano huo ambayo mpaka...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania IPU Arusha: Zaidi ya Mkutano wa Bunge

    #IPU Arusha si mkutano tu wa viongozi wa mabunge. Ni diplomasia. Ni fursa za kiuchumi. Ni utalii. Ni utamaduni. Na kwa Tanzania… Ni nafasi ya kuonesha dunia kile ambacho nchi hii inaweza kufanya. #IPU2026.
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU: Je Arusha itasema ukweli kuhusu demokrasia au itaimba Nyimbo za Kusifu?

    Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika ukumbi wa AICC Arusha na baadhi ya wabunge wawakilishi kutoka nchi washiriki wamekwisha kuwasili jijini...
Back
Top Bottom