introvert

Extraversion and introversion are a central trait dimension in human personality theory. The terms were introduced into psychology by Carl Jung, though both the popular understanding and current psychological usage are not the same as Jung's original concept. Extraversion (also spelled extroversion) tends to be manifested in outgoing, talkative, energetic behavior, whereas introversion is manifested in more reflective and reserved behavior. Jung defined introversion as an "attitude-type characterised by orientation in life through subjective psychic contents", and extraversion as "an attitude-type characterised by concentration of interest on the external object".
Extraversion and introversion are typically viewed as a single continuum, so to be higher in one necessitates being lower in the other. Jung provides a different perspective and suggests that everyone has both an extraverted side and an introverted side, with one being more dominant than the other. Virtually all comprehensive models of personality include these concepts in various forms. Examples include the Big Five model, Jung's analytical psychology, Hans Eysenck's three-factor model, Raymond Cattell's 16 personality factors, the Minnesota Multiphasic Personality Inventory, and the Myers–Briggs Type Indicator.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    Naona kama upo Afrika na ukawa Introvert ni changamoto sana

    Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa . Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi. Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako. Ukija...
  2. ELI COHEN

    Moja ya uwendawazimu utakaowahi kufanya ni kujifanyisha kuwa Introvert

    Kuwa introvert ni asili ya mtu. Kama unataka ubadirishe mwenendo wako, Ni either upunguze mazoea na watu au kuji control kuongea sana ila kujifanya kuwa mkimya utandaa tatizo la afya ya akili lakini zaidi kuasili mahusiano yako maana watu hawajakuzoea hivyo. Kuwa Introvert sio sifa na pia sio...
  3. R

    Kuna utofauti gani kati ya kuwa Introvert, kupenda kujitenga na kuwa mkimya ?

    Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
  4. CreatureKH

    Hivi nyie mnajijuaje kua ni Extrovert cjui Introvert, binafsi niseme tu mie sijui nipo kundi gani

    Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa...
  5. KENZY

    Kuwa introvert ni tabu sana!

    Unaweza kushinda ndani kama jini nani sijui!, Halafu ukitoka nje dakika mbili tu unatamani tena kurudi ndani.. mbaya mbovu introvert tunaujinga huu. Naweza nikawa nataka kutoka na wewe umekaa sehemu nayotaka kupita naweza nikasubiri mpaka utoke ndo namimi nipite!, mitabia myengine sijui ya wapi...
  6. ELI COHEN

    Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  7. safuher

    Kuwa na marafiki ukubwani kunapunguza msongo wa mawazo, usijifiche kwenye introvert

    Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki. Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez kulisema jambo hilo. Wanaume tunapitia mengi sana kiasi kwamba kuna wakati unahitaji mtu wa kukaa...
  8. Mstaarabu Tz

    Natafuta wana ambao ni Introverts

    Habari.......! Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa sijapata rafiki au mtu wa karibu ambae ni introvert kam mimi coz nataka tuwe tunashare mambo fulan...
  9. M

    Msaada: Nimekuwa mkimya na mgumu sana kuzoeana na watu

    Hali zenu, SakoKwaBako! Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo. Tatizo langu ni la saikolojia, ndivyo watu wa karibu wanavyosema. Nina matatizo yafuatayo: 1. Ni mkimya sana mpaka nakera. JF ni...
Back
Top Bottom