indo power solutions


  1. M

    Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

    Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika. Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini na naibu Waziri, kidogo nimeingiwa na wasiwasi. 1. Kenya kuna kiwanda kimoja tuu cha kubangua...
Top