Mabingwa wa kihistoria wanaondoka Mapinduzi Cup wakiwa wamekula kichapo cha goli 11 saaafi kabisa.
Katika hatua ya awali walikula goli 2 dhidi ya KMKM na jana nusu fainali wakiwa full mkoko walikula goli 9 toka kwa Azam FC
Ikumbukwe kuwa Play Station yenyewe mpaka sasa haiyafungwa goli hata...
Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma.
Posho ambazo walikuwa hawajalipwa zilikuwa zinashusha Morali kwenye kambi, lakini Waziri Mkuu aliyeagizwa na Rais Samia Suluhu kuitembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.