ila

Òkè-Ìlá Òràngún (often abbreviated as Òkè-Ìlá) is an ancient city in southwestern Nigeria that was capital of the middle-age Igbomina-Yoruba city-state of the same name.
Òkè-Ìlá is a city in Ọṣun State, Nigeria. It is situated in the northeastern part of Yorubaland in southwestern Nigeria. Òkè-Ìlá Òràngún’s sister city (and sister kingdom) Ìlá Òràngún is located about 12 kilometres (7+1⁄2 mi) to the northeast, separated by the north-trending ridges and gorges of the Oke-Ila Quartzites.
Òkè-Ìlá Òràngún is currently capital of the Ifedayo Local Government Area of Ọsun State. The Ifedayo LGA (Local Government Area) Secretariat is located on the northern outskirts of the town. The administration of the two major towns and the several smaller towns and villages is conducted from the Ifedayo LGA Secretariat.
The paramount ruler of the town is Oba (Dr.) Adedokun Abolarin, Òràngún of Òkè-Ìlá (Aroyinkeye 1). He was a lawyer before his installation as the traditional ruler of the town. Abolarin College, one of the prominent schools in the town is owned by him.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

    Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri. Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii. Sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Hata muweke nini ila kama hakuna haki leo mkifa mtabaki makaburini bila kumbukumbu

    Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake. Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha. Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho , hata mbwa ukimuuliza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na wazazi wangu nioe. Ila Nina 23.miaka

    Jana nmekuja kuwapa hai wazee wangu kama kawaida ni muda kidog umepita sasa katika kupiga stoli mother akaniambia mwanang mbona umekonda sana nikamwambia Amna mama kawaida akadai hapana sio kawaida mim nikamwambia maisha tuu mama akadai inabidi uoe inawezekana majukum hamekuzid mzee nae...
  4. JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wafanyakazi wenye sifa sahihi za uzalishaji kwa vitendo ndio hakuna

    Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida. Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
  5. JamiiForums Tanzania Nipo Zangu Singapore ila Lissu wamuachie sikutaka kuingia kwenye siasa ila mzee wamuachie tu hana kosa

    Samia Acha uoga mzee huyo hana kosa we ndo una makosa Mnatuforce kuingia kwenye siasa bila kutaka Mnatulazimisha , Mpaka kuna watu Uzi fulan Walisema natumia Pesa haramu za samia kutamba nchi za watu! Kwanza Samia hana uwezo wa kunihonga na hako ka abdu kake! Pili nawasihi msikate Tamaa kama...
  6. JamiiForums Tanzania 4 July 2026 Cape verde atamfunga Argentina na kumtoa, ila Fainali wataingia France na England na Bingwa wa Fifa World Cup 2026 atakuwa England

    Mods msiunganishe huu Uzi hili ni muhimu. Huu sio utabiri ndo kitakachotokea. Fainali wataingia France na England ila England atabeba ubingwa wa Fifa World Cup 2026.
  7. JamiiForums Tanzania Je, Israel ya Leo ni ile ya Mussa?

    Habari wakuu Leo nmemeona nishee kidogo kuhusiana na na hii nchi iliyoanzishwa kimipango na Wala sio taifa teule. 1. Nianze hapa kwanza kabla ya vita ya pili ya dunia hapakua na taifa islaeli hii ya Sasa naomba uwelewe hapo hii katafute kweny Raman zote za dunia ukipata nakupa zawad 2. Nchi za...
  8. JamiiForums Tanzania Ila waislamu nchini wana pesa ndefu

    Fikiria tu hii kashfa mpya wanakwapua shilingi 600 kwa kila lita ya mafuta. Piga hiyo mahesabu kila lita ya mafuta nchini sh 600 na haiendi hazina. Na hizo hela zinahifadhiwa kwenye account za kiislamu ambazo riba ni haramu. Ndio maana kobaz wanaongoza kwa utajiri nchini. Al-mukheef Jagina...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Una kipaji gani ila hakikuendelezwa kutokana na mazingira yetu ya kutokukuza vipaji?

    Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana. Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
  10. JamiiForums Tanzania Kiungo pekee kinachotabiiri kifo kwa mgonjwa wa kiume.sjui kwa Wanawake ILA hiki kidume ukifa kinasimama hatari.

    Mtoto/MWANAUME/Baba/Babu shikilia mashine yako kama uko poa kabisa huna changamoto ya kiafya, tekenya kende, gusa limsuri la katikati ya mtu.wa nyama wako, ukiona limesmama mwambie Mungu Asante. Kwa ufupi MWANAUME akiumwa na ugonjwa AMBAO auendi kumtoa roho kila siku asubuh atasimamisha ILA ni...
  11. JamiiForums Tanzania Msinielewe vibaya, uhu sio udini ILA wakatoliki tumepwaya sana, mapdri mmekuwaje?lissu alipigwa risasi tukanyamaza,kitima mpo kimnya mnasubilia wauwe?

    Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya, Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...
  12. JamiiForums Tanzania Najua unaweza bisha ila kuna baadhi ya jamii hapa bongo kuzalia nyumbani ni kama sifa na normality

    Kanda ya ziwa, wajita. Kanda ya kaskazini, wairaq Kanda ya kati wanyamwezi na wanyaturu Kanda ya pwani
  13. JamiiForums Tanzania Ila nyumba za Chanika..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma

    Nyie.. au rangi wanapewa bure? Nyumba inapakwa rangi 7 tofauti hadi raha😂😂
  14. JamiiForums Tanzania Hakupenda siasa ila aliingia kwa kutaka kuwakomesha na wakamzamisha kwenye kina kitefu

    Hlw In his life he cannot come to like Tanzania's politics, and even if one day he gains his freedom I don't know if he will get back into politics again. And if he does get back into politics or meddle in it again, he will have deeply into politics Kijana alijitengeneza vizuri sana kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya ajabu kunikuta ila Ni somo linanipa kicheko leo

    1. Nikiwa sekondari wakati tunaanza form 2 nilijikuta accidental Nanyoosha mkono kugombea uongozi wa darasa, Nilipata Kura Moja (1) yani kura moja yakujipigia mwenyewe darasa lina zaidi ya wanafunz mia. then kuna rafik yangu wa karibu alitafuta nafasi muda tukiwa darasani akajipitisha na maneno...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu ambao kuwa hasi kwa wengine ndio faraja yao, ila sio kwamba wanaridhika na jinsi walivyo, ni kwa sababu wanajichukia

    Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu. Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo lakini kumbe ni mtoa hoja au ushauri ana teseka ndani yaani ni SADISTIC. ISHI MAISHA YAKO, MATUSI...
  17. JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Siku chache zilizopita niliwapa stori ya rafiki yangu wa kijani ambaye amenisaidia kuona upande mwingine wa dunia ya freelancing. Wengi mliuliza: "Huyo rafiki ni nani?" Leo nimeamua kumleta rasmi. Jina lake ni FIVERR. Usichanganyikiwe na kizungu, ngoja nikuelezee kwa lugha rahisi. Fikiria una...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  20. JamiiForums Tanzania Ila wanawakeee hahahaha....

    R
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…