Ikulu is the official residence of the president of Tanzania in Dar es Salaam which was founded by Majid bin Said of Zanzibar in 1865.
The State House blends African and Arabian architecture, with wide verandahs and covered walkways. It is white-walled with floors of African terrazzo, and stands in over 33 acres (13 ha) of grounds overlooking the Indian Ocean on the east and Dar es Salaam to the west. The brass-studded west doors are surmounted by a replica of the Republic's Coat of Arms and flanked by two giant drums. During 2001 one of the entrances after the car gates was adorned with two male Lions overlooking guests as they would be welcomed to the State House of The United Republic Of Tanzania.
The building contains a number of gifts from state visitors, including an Ethiopian shield with crossed spears, given by Emperor Haile Selassie and a representation of the coat-of-arms of the Republic of Tanganyika, given by the government of India in 1961, that acts as a backdrop to the President's seat in the Council Chamber.
Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!.
NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
Tunapoelekea kuzindua kampeni za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku 61 zijazo, tume huru ya Taifa ya uchaguzi {INEC} ikiwa imeteua wagombea 17 wa kiti cha urais, chama cha Mapinduzi {CCM} kina silaha 3 muhimu katika uchaguzi mkuu huu wa 2025, ambazo ni;
1. Rekodi ya utekelezaji wa ilani ya...
Wakati sina shida kabisa na CCM kufanya fundraising, napata changamoto kuelewa Mamlaka za nchi zimefikiria nini kuruhusu hili kutokea.
Kwanini akaunti za Ikulu zitumike kwenye shughuli za kisiasa?
Hivi ni kwamba tumefika huku kweli?
Baada ya maafa ya mlipuko wa mabomu mbagala na kuteketea kwa makazi ya watu wakati kwa ajali hiyo ya mabomu ya mbagala 2009, kwa wakazi wanaoishi mbagala, amani ilikosekana kabisa, na kufikia mpaka wakazi wa eneo hilo kudiriki kusema, kama vita mfano wake ndio huu, afadhali chama kilichopo...
Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba.
Nimejikuta nakumbuka Zelensky akipotembelea ikulu ya Marekani, waandishi wa habari na Wamarekani...
Oktoba 28, 2024 katika msiba wa msaidizi wa Mwamposa, Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere alitambulishwa kama mtu anayeongoza protocol Ikulu pale msibani.
Ilikuwa bahati mbaya au ni uhalisia? Bado nawaza!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.