ikulu ya kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    Ruto aendeleza msimamo wa kujenga Kanisa la Kisasa Ikulu ya Kenya

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza nia yake ya kujenga kanisa la kisasa ndani ya Ikulu (State House), akipinga vikali kauli za baadhi ya watu wanaodai kuwa mradi huo utagharimu mabilioni ya fedha. Akizungumza katika ibada ya Jumapili ya leo, Ruto alisema haoni sababu ya watu...
  2. Yoda

    Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  3. Mindyou

    Ikulu pamoja na Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya zapokea nyongeza ya Kshs Bilioni 5 (Tshs Bilioni 99) kwa ajili ya usafiri, burudani na mishahara

    Wakuu, Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana. Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa ajili ya safari, burudani, na malipo ya mishahara. Kwa mujibu wa bajeti ya nyongeza...
  4. W

    Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

    Ikulu ya Rais wa Kenya William Ruto imwekwa chininya ulinzi mkali na hakuna mtua nayeruhusiwa kusogea karibu na eneo hilo kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo leo tarehe Juni 27, 2024 Licha ya Rais William Ruto kutangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha siku ya Juni 26...
Back
Top Bottom