Kazi maalumu walizofanya ni hizi baada ya watu kuambiawa wake ndani.
1. KUPIGA RISASI ZA VICHWA WATANZANIA.
2. KUCHUKUA WAGONJWA WOTE WA RISASI WALIOKUWA WAKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI NA KUENDA KUWAMALIZIA.
3. KUPOTEZA MIILI YA WALIOWAPIGA RISASI NA KUENDA KUZIKA KWENYE MAKABURI YA HALAIKI...
Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree.
Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali...
LISSU...
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
Utangulizi
Mheshimiwa IGP Camilius Wambura,
Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia.
Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu.
Hata hivyo...
Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP.
Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”.
Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
Akizungumza leo Agosti 11, 2025, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika shule ya Polisi Moshi, Inspekta Jenerali wa Polisi, Camillus Wambura ameeleza kuwa hali ya usalama ni shwari na Jeshi hilo linajiandaa na uchaguzi kwa kuweka...
Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile.
IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
Wakuu
IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi.
Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu
Source: Uhondo TV
Nipo kijijini napita pita mtandaoni, naona picha za wakuu wakiwa kanisani kwa Mwamposa.
Picha moja wapo iliyonishtua ni jamaa flani ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 alikuwa kwenye msafara wa Tundu Lissu.
Leo jamaa yule yule yupo kwenye msafara wa IGP Wambura. Je huyu ni nani...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa kutumia ofisi za Dawati la Jinsia kuripoti ukatili wanaofanyiwa majumbani.
IGP Wambura amesema hayo wakati akifungua Mradi wa jengo la ofisi za...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi.
Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo.
Je...
IJP Camillus Mongoso Wambura ni Mkuu wa Jeshi la polisi, Jeshi ambalo uwepo wake ni kuhakikisha kuwa raia wanakuwa salama muda wote.
Lakini Jeshi la polisi ( si tu wakati yeye akiwa IJP) linapokuja suala la jinsi ya kusimamia mambo ya siasa, hasa haki za vyama vingine mbali ya CCM, Jeshi la...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura, ametoa msaada wa Bajaji kwa kijana Masima Nyau kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi baada kujeruhiwa mguuni wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi shirikishi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwenye oparesheni za kupambana na wahalifu hali...
BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA.
📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana.
📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani.
📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...
Jeshi letu la Polisi ni jeshi zuri sana na huenda likawa ni lenye weledi na utashi kuliko yote Afrika Mashariki na Kati. IGP Wambura ni IGP Bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ana historia nzuri ya kushughulikia wahalifu na askari wakengeufu kila wanapojitokeza na ametengeneza...
IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu.
Vijana hawa Wala siyo wakazi wa nyumba hizi, hushinda maaneo haya kutwa nzima mbaya zaidi Kuna watoto wadogo wameanza kuwauzia...
Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu wawajibishwe.
Yaani Waziri yule Mzanzibari Masauni na mkuu wa Polisi IGP Wambura.
Katika uwajibikaji, hata wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.