Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Erastus Ethekon, amesema tume haiwezi kuendesha uchaguzi katika mazingira yaliyojaa chuki, uchochezi, mgawanyiko na vurugu, huku akitoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wananchi kulinda amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Akizungumza wakati...