Utafiti kuhusu vinasaba vya binadamu unaonyesha kuwa kuna kipindi katika historia ambapo binadamu walikaribia kutoweka kabisa.
Takribani miaka 70,000 hadi 75,000 iliyopita, idadi ya watu duniani ilishuka kwa kasi sana na inakadiriwa idadi ya watu duniani ilibaki kati ya 1000 hadi 10,000.
...
Hili nijambo la kushangaza lakini ndio ukweli , pamoja na high mortality rate ya Me lakini bado idadi inakaribiana sana , kwa nchi na nchi ukikuta Me wamezidi basi haizidi 2% na ukikuta Ke wamezidi hawazidi 1% hata hivyo Science inaonesha chance kubwa ya kuzaliwa mtoto wakiume kuliko wa kike...
97% of Countries Will Soon Be Unable to Sustain Populations as Fertility Rates Drop
Story at a glance
A report published in The Lancet predicts that by 2100, the global infertility problem will be so severe that 97% of countries will be unable to sustain their populations. According to the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.