idadi kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

    Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi. Source: TBC habari
  2. Jorge WIP

    JamiiForums Siku hizi Marekani/Hollywood ina idadi kubwa sana ya movie mbaya

    Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea...
Back
Top Bottom