Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso.
Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 . Kiwanda hicho chenye uwezo wa kuchakata tani 6 za nyanya kwa saa moja, kinatazamiwa kuiwezesha nchi hiyo...