huyu

Huyu Township (simplified Chinese: 户育乡; traditional Chinese: 戶育鄉; pinyin: Hùyù Xiāng; Jingpo: Hu yup or Hi yup) is a township in Ruili, Yunnan, China. As of the 2016 statistics it had a population of 8,521 and an area of 204 square kilometres (79 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF ) Namnukuu Chadema hadi mjambe cheche. Nilipo waambia watu humu kuwa genge la Rostam Azizi ni hatari ni raia feki waliokuwa na agenda ya kukamata serikali na taifa, wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu alikuwa mama wa mtu. Hatutakubali

    Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani? Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  5. JamiiForums Tanzania Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

    Habari zenu wana JamiiForums, Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi mnamjua Paul Makonda nyie?

    Huyu ambaye alimlaghai GSM kuwa Rais Magufuli anataka kujengewa nyumba, Aliyetaka kupitisha biashara yake bandarini kwa kisingizio cha kusaidia meza na viti waalimu wa Dar Huyu bwana ukimweka kwenye kundi la walafi wa madaraka na matumizi mabaya ya madaraka ni namba moja kwa Tanzania hivi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…