Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a Tanzanian politician who is the 8th and current President of Zanzibar since 2020. The son of former Tanzanian president Ali Hasan Mwinyi, he is a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) political party.
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo Novemba 10, 2025 ameahidi kuongeza maradufu pensheni kwa Wazee Wastaafu kuanzia miaka 70 visiwani humo.
"Wazee wote wanaofikia umri wa miaka 70 wataendelea kupatiwa pensheni jamii. Ahadi yangu ni kuongeza kiwango...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.
Wapiga kura walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura walikuwa 717,557, ambao ndio...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi akilisha njiwa katika eneo la Darajani, mara baada ya kumaliza ziara yake ya kuzungumza na wafanyabiashara na kunadi sera za maendeleo kwa Zanzibar yenye amani na umoja.
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita.
Akizungumza...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini
Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali itaendelea na ujenzi wa miundombinu ya skimu za umwagiliaji maji ili kuongeza uzalishaji wa kilimo cha...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema katika kipindi cha miaka mitano ijayo atahakikisha anawafikia wajasiriamali wadogo mahala walipo kwa kuwapatia mitaji midogo.
Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa ameambatana na Mke wake , wamesimama njiani kununua matunda aina ya Mabungo wakitokea Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, baada...
Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema uamuzi wa Serikali kutoa hati za mashamba ya karafuu kwa wananchi ni sehemu ya mkakati maalum wa kuhakikisha zao hilo linaendelea kuwa nguzo kuu ya uchumi wa Zanzibar.
Amesema Serikali imefanya tathmini ya kina kubaini njia bora ya kuwakabidhi...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba katika Mkutano huo wa kampeni uliofanyika Ukumbi wa Mikutano Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, Oktoba 7, 2025 na kuwaambia "Tukishindi uchaguzi, tufanye bonge la party"
Soma...
Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba, katika mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni, hafla iliyofanyika...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaangalia uwezekano wa kujenga gati au kuchimba sehemu maalum ya bandari katika Kisiwa cha Kojani ili kurahisisha huduma ya boti ya wagonjwa kufanya kazi saa 24 bila vikwazo.
Akizungumza na...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka wananchi kuwapuuza wanasiasa wasiohubiri amani, akisisitiza kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo ya Taifa...
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kuimarisha miundombinu na ustawi wa wananchi wa Unguja na Pemba, kwa misingi ya umoja...
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kujenga gati katika kijiji cha Tumbatu ili kuwaondolea wananchi usumbufu wa kusafiri kufuata huduma nje ya kisiwa chao.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira wa...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, aliibua shamrashamra za aina yake baada ya kuinuka na kucheza jukwaani pamoja na msanii maarufu wa muziki nchini Tanzania, Yammi .
Tukio hilo lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya...
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza Zanzibar kwa miaka mitano ijayo atahakikisha anavuka lengo la utoaji wa ajira 300,000.
Kauli hiyo ameitoa wakati akihutubia wananchi wa Bumbwini...
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, shule, viwanja vya michezo na kuboresha sekta ya afya endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa...