hussein ali mwinyi

Hussein Ali Mwinyi (born 23 December 1966) is a Tanzanian politician who is the 8th and current President of Zanzibar since 2020. The son of former Tanzanian president Ali Hasan Mwinyi, he is a member of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) political party.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi aahidi kuongeza barabara na skuli za ghorofa pangawe - Zanzibar

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dkt. Mwinyi amesema serikali...
  2. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Serikali kuimarisha Viwanja vya Michezo ili vikidhi viwango vya Kimataifa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inalenga kuviimarisha viwanja vya michezo nchini ili viwe bora na kukidhi viwango vya kimataifa. Amesema Serikali imewekeza fedha nyingi kuhakikisha inajenga viwanja zaidi vya kisasa vitakavyotoa...
  3. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi kuja na mpango wa uwekezaji mkubwa hoteli ya Bwawani

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameahidi endapo atapewa tena ridhaa ya kuongoza Zanzibar kushirikisha sekta binafsi kuja na uwekezaji Mkubwa katika eneo la Bwawani ili kuchochea hadhi ya eneo hilo na uchumi wa Zanzibar Dkt. Mwinyi...
  4. Waufukweni

    GE2025 Dkt. Mwinyi apiga selfie na wapiga makachu Forodhani, aahidi kuwarasimisha

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na vijana wa Makachu katika eneo la Forodhani, Unguja na kuwaahidi kuwa serikali itarasimisha rasmi kazi hiyo ili watambulikane kisheria. Dkt. Mwinyi amesema vijana hao wamekuwa mabalozi wa...
  5. Waufukweni

    GE2025 INEC yaahirisha uchaguzi Fuoni, sababu ni kifo cha mgombea Abbas Mwinyi

    Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi pale itakapopanga tarehe nyingine ya uteuzi wa wagombea. Abbas ambaye ni kaka mkubwa wa Rais wa Zanzibar...
  6. Waufukweni

    GE2025 Hemed Suleiman: Hakuna mbadala wa Rais Mwinyi katika nchi hii ya Zanzibar

  7. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Nimetekeleza mengi yanaonekana, sina haja ya kusema sana

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema endapo akipata ridhaa ya kuiongoza tena Zanzibar ataendelea kuboresha zao la karafuu. Kauli hiyo ameitoa wakati akihutubia maelfu ya wananchi ambao wamejitokeza katika uwanja wa...
  8. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Miaka 5 ijayo tutajenga soko kubwa Kinyasini

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dtk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwa katika kipindi cha miaka mitano ijayo Serikali itajenga soko kubwa la Kinyasini lenye miundombinu ya kisasa kwa ajili ya wafanyabiashara na wakulima. Dkt. Mwinyi mesema kuwa ujenzi wa soko hilo utaleta ajira...
  9. Waufukweni

    GE2025 Rasmi Dkt. Mwinyi achukua fomu ya Kugombea Urais Ofisi za ZEC

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amechukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ifikapo Oktoba, 29, 2025 katika siku ya Uchaguzi Mkuu wa Wagombea wa 2025-2030.
  10. JanguKamaJangu

    Shuhudia Rais Hussein Mwinyi alivyoelekea Dodoma katika vikao vya CCM vitakavyopitisha Wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili jijini Dodoma kushiriki katika vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa leo tarehe 20 Agosti, 2025. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Mwinyi atangaza kulivunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atavunja rasmi Baraza la Wawakilishi Zanzibar ifikapo Agosti 13, 2025, ili kuwezesha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akihutubia leo Jumatatu Juni 23, 2025, Rais Mwinyi amesema: “Kwa mamlaka...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho'. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto akitumbuiza kwenye shughuli ya CCM

    Wakuu! Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho' cha Burudani. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto baada ya kutumbuiza kwenye shughuli ya CCM huko Dodoma. Soma: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?
Back
Top Bottom