Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo , vimekuwa vikiongeza idadi vya Viti vya Udiwani...