Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, amepinga msimamo wa Serikali kuhusu hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akisema hukumu hiyo inapaswa kujitetea yenyewe kwa kutenda haki badala ya kutetewa.
Heche ametoa kauli hiyo...