hukumu ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Yeriko Nyerere amepost hivi baada ya hukumu ya Lissu. Mwambieni hatutasahau tutamkumbusha siku ikifika

    Huyu ni miongoni mwa walioumia baada ya Lissu kuibuka mwenyekiti wa Chadema January mwaka 2025. Sasa baada ya hukumu ya leo ya Tundu Lissu tarehe Novemba 6 mwaka 2026, ametweet huko mtandao wa X kuonyesha furaha yake. Mlio karibu nae, mwambieni ubaya hauna kwao na siku ikifika tutamkumbusha...
  2. JamiiForums Kuhusu hukumu ya Lissu: Dola ina Wanasaikolojia wazuri sana, tuwape heshima akili iliyotumika ni kubwa

    1. Lengo la dola ili kuwa ni kumfungulia Lissu kesi ya Uchochezi ili wamfunge miaka mitatu Hadi mitano hapo. 2. Lakini wakampa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kifungo cha maisha. 3. Kesi ya uhaini chidi ya Lissu ilipo anza. Watu wengi walijua kesi ingefutwa juu kwa juu kaa upande...
  3. JamiiForums Hukumu ya Lissu imeongeza chuki kwa CCM. Ni anguko la haraka la chama tawala.

    Ukisoma nini mawazo ya watanzania juu ya ccm na kesi ya lissu ni kwamba chuki imeongezeka mara dufu. Kwa wenye AKILI hili ndio lilikuwa dirisha la SSH kujisafisha Tanganyika na kuondoka salama 2030 kinyume chake SSH amejiwekea rekodi nyingine ya hovyo mño ambayo it's backfire kama rungu la...
  4. JamiiForums Hivi kumbe hukumu ya Lissu ndio leo?

    Mimi ndo huyo napita zangu mitaa Fulani ya kisutu kuna mdada mmoja human ana duka lake anauza viatu vizuri natala kwenda kuchukua kiatu nakuta amefunga napiga namba zake anasema " Leo siji ofisini kwa sababu za kiusalama nahofia zinaweza kutokea ghasia" I was like " What's up? " Akanijibu " Leo...
  5. C

    JamiiForums Mahakama: Maneno ya Lissu hayathibitishi nia ya kutenda uhaini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imesema upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kiini cha pili cha kosa la uhaini wa kuitishia Serikali linalomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Novemba 6, 2026, wakati mahakama hiyo ikiendelea kusoma...
  6. JamiiForums Watu 40 tu ndo wameenda kumshangaa Lissu hii ni hukumu kwa upande wa sisi wazalendo sasa tunasubiri hukumu ya court

    Watanzania hawana muda na Lissu hii ni hukumu number Moja ya Lissu kwa wananchi. Wananchi wanaukataa uhaini kwa vitendo. Tuendelee kupiga KAZI tuachane na hawa vibaraka wa mabeberu
  7. JamiiForums Hukumu ya Lissu, hiki ndio kitaenda kutokea

    Haya ni Maoni yangu. Kwanza, Lissu atakutwa na Hatia. Pili, ataambiwa ajitetee. Yeye pamoja na mawakili wake na wale wa serikali . Na kwa pamoja wataomba hukumu isiwe Kubwa. Kwasababu ni hatia yake ya kwanza. Ila sasa kosa la uhaini kisheria hubeba adhabu kubwa zaidi ikiwemo hukumu ya Kifo...
  8. JamiiForums Hakuna chombo cha habari cha hapa Tanzania kilichotambua kama leo mahakama ya Tanzania inaweka rekodi

    Sio MAGAZETI, RADIO, WALA TV. zote kimya wapo na habari zao za hovyo vyombo vichache tu vimedonoa habar zake. HALAFU anatokea popoma anasema zifanywe tafiti kwanini watu hawaziamini media za Tanzania!
  9. JamiiForums UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Baada ya siku zaidi ya 570 tangu kushikiliwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Novemba 6, 2026, inatarajiwa kujulikana hatma yake wakati Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, itakapotoa hukumu katika shauri hilo. Hukumu hiyo inatarajiwa...
  10. B

    JamiiForums Polisi kujaa mitaani kuelekea hukumu ya lissu: ni udhaifu tosha wa jeshi la polisi

    Kuelekea hukumu ya Tundu Antipas Lissu, tumeshuhudia ongezeko kubwa la askari polisi katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam. Magari ya polisi, askari wenye silaha na doria zimekuwa sehemu ya taswira ya mitaa yetu. Hali hii inanifanya nijiulize maswali kadhaa kuhusu uwezo, maandalizi na...
  11. C

    JamiiForums Anaandika Wakili Paul Kisabo: Nimetoka Ukonga kuzungumza na Tundu Lissu. He is fine na anawasalimia wote

    I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
  12. C

    JamiiForums Je, Godbless Lema atahudhuria hukumu ya Tundu Lissu kesho?

    Kesho, Novemba 6, 2026, macho na masikio ya wadau wa siasa nchini yataelekezwa mahakamani kusubiri hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna swali ambalo limekuwa likinijia akilini: Je,Godbless Lema atakuwepo mahakamani kushuhudia hukumu hiyo? Swali hili...
  13. M

    JamiiForums Tetesi: Hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kuahirishwa hapo kesho

    Taarifa za Uhakika ambazo nimezipata toka corridor za Lumumba ni kuwa wameamua kupanga udhuru ili hiyo hukumu iahirishwe hapo kesho. Sababu ni nyingi kutokana na mivutano ya aina ya Hukumu wanayotaka kumbambikia tofauti na hukumu kwa mujibu wa sheria husika ya kosa la Uhaini ambayo ukikutwa na...
  14. JamiiForums Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  15. R

    JamiiForums Nadhani uongozi wa CHADEMA usimjibu Lema.. Kilicho mbele yenu ni hukumu ya Lissu

    Achana na Lema kwa sasa..subiri hukumu ya Lisu kwanza. Then kama kuna issue na Lema ni baadaye. Chase the Hyena first and then come to warn the Hen about wandering into the forest!
  16. C

    JamiiForums Familia ya Lissu yasogeza mazishi ya Alute kisa hukumu ya Tundu Lissu

    Familia ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imetangaza kifo cha kaka yao, Wakili Alute Lissu Mughwai, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Jumapili, Novemba 1, 2026, katika Hospitali ya Selian mkoani Arusha. Akizungumza kwa niaba ya familia, Dkt. Vincent Mughwai amesema marehemu alikuwa...
  17. A

    JamiiForums Mwezi tuliokuwa tukiusubiri kwaajili ya hukumu ya Lissu, umefika!

    Mwezi Novemba tuliokuwa tukiusubiri hatimaye umefika. Macho na masikio ya Watanzania wengi sasa yanaelekezwa Novemba 6, 2026, siku ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu. Kesi hiyo iliyochukua takribani...
  18. JamiiForums 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  19. JamiiForums GE2025 Lissu: Kesi haijasikilizwa hata upande mmoja, tarehe ya hukumu ishapangwa. Kama kuna hukumu tayari tujue

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa Tundu Lissu amesema Hii kesi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…