hukumu kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Tumeumia Lissu kuhukumiwa, tunamuombea Mungu atoke. Lissu alitaka maridhiano lakini Heche alichana barua

    Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosii amesema wameumizwa na hukumu iliyotolewa katika kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na kwamba wanamuombea atoke. Akizungumza mkoani Morogoro, Kihongosi amesema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amemwandikia...
  2. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu imenikumbusha maneno ya Rostam Aziz

    Mtazamo wa Rostam Azizi (kabla ya kuomba radhi) ulikuwa kwamba mahakama zetu si huru na maamuzi yake yanategemea maelekezo toka nje ya mhimili huo. Baada ya Hukumu ya Kesi ya Uhaini iliyokuwa inamkabili Tundu Lissu, mwangi wa maneno hayo ya Rostam umesikika masikioni mwangu!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tunaomba John Heche naye akamatwe ahojiwe kwa kosa kama alilokutwa nalo Lissu, nimeanza kukusanya ushahidi

    Sheikh Saidi Mwaipopo akizungumza na Waandishi wa Habari Novemba 07, 2026 ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kumgeukia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John heche na kuchunguza kauli zake akidai alizungumza maneno ya kichochezi kabla ya uchaguzi hivyo anapaswa kupitia hatua zote kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Baba Mwita: Jaji ametoa miaka 4 kwa Tundu Lissu pasipo kuzingatia kanuni na miongozo ya utoaji adhabu

    ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI: 1. KUKIUKWA KWA...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Madeleka: Mahakama imethibitisha hakukuwa na uchaguzi mwaka 2025

    Wakili Peter Madereka amesema hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeweka hadharani jambo ambalo wengi walikuwa wakibishana kulihusu: kama mwaka jana kulikuwa na uchaguzi au la. Kwa mujibu wa Madereka...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Tundu Lissu akitumia njia ya kisiasa anaweza kusamehewa

    Mwanasiasa aliyegombea Urais wa Tanzania Mwaka 2025 kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu amesema Mambo ya Kisiasa yanamalizwa kwa njia mbili za Kisiasa (Mazungumzo) na Sheria. Amesema Njia ya Sheria tayari imefika mwisho na imetoa hukumu ya Kifungo cha miaka minne kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Lissu amesema hakuna kupiga Magoti. Very soon TUTASHINDA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amezungumza leo Novemba 6, 2026, kufuatia hukumu ya miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Heche amesema Lissu amesisisitiza kuwa hakuna kupiga magoti mbele ya uovu. Soma pia Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Waliomuita Lissu Mhaini wamehamisha goli na kumuita Mchochezi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amezungumza leo Novemba 6, 2026, kufuatia hukumu ya miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi. Soma pia Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi...
  10. JamiiForums Tanzania Msiogope wala kufadhaika mioyoni mwenu. Ushindi hatua ya kwanza tayari. Tuna - file rufaa na dhamana immediately. TL yuko huru

    Kosa la uhaini halipo tena... Jamhuri imeshindwa kuthibitisha kwa ushahidi kuwa alitenda uhaini.. Cha ajabu ni kuwa, katengenezewa kosa palepale na Jaji Danstan Nduguru na wenzake, kosa la uchochezi ambalo halipo kwenye hati ya mashitaka na ambalo hajawahi kujitetea kwalo ==============...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama imemuhukumu Lissu Miaka 4 jela kwa kosa la Uchochezi

    Leo November 6, 2026 Last time tuliishia part 493 so leo tunaendelea na -; Part 494. Karani amewasha kipaza sauti kutoa Tangazo kuwa watu wakae kwenye viti vyao na simu zao wahakikishe zinatolewa sauti na milio ya aina yote. Waandishi wa Habari na wao wako wakutosha sijawahi kuwaona...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa hoja za Tundu Lissu kuhusu kasoro ya hati ya mashtaka

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imekataa hoja za Tundu Lissu kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka ya kesi ya uhaini inayomkabili, huku ikikubaliana na hoja za Jamhuri kuwa hati hiyo iko sahihi. Katika hoja zake za mwisho, zilizowasilishwa baada ya pande zote kufunga ushahidi, Lissu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Muliro: Hali ni shwari, tunaendelea vizuri, wananchi wanaendelea na majukumu yao kama kawaida

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro, akiwa katika viunga vya Mahakama leo Novemba 6, 2026, siku ya Hukumu ya Kesi Uhaini ya Tundu Lissu, ameeleza kuwa mpaka sasa hali inaendelea vizuri na Wananchi wanaendelea na Shughuli zao. Ikumbukwe siku ya Jumanne Novemba 3...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa aongoza Sala Mahakamani Hukumu Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ameongoza Sala Mahakamani leo Novemba 6, 2026 ikiwa ni siku ya hukumu ya kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Antipas Lissu. Fuatilia updates za hukumu leo UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania MAGAZETI NOVEMBA 6: Vyombo vya Vya Habari na Hukumu ya Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini

    Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi. Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Chadema kupeleka maombi mahakama hukumu ya Tundu Lissu irushwe live

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kinakusudia kupeleka maombi mahsusi kwa uongozi wa Mahakama, ili ikiwezekana HUKUMU ya KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu inayotarajiwa kutolewa Novemba 06.2026 irushwe Mubashara (LIVE) na Vyombo vya Habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…