Katika vitu vimenishangaza ni hili, yaani Mbezi pamoja na umaarufu wote huu na kuwekewa hadi Stand Kuu ya mabasi ya kimataifa bado maji safi hayajafika.
Ukizunguka nyuma kidogo ya stendi Mbezi Makabe hatua chache tu watu wanaishi kama vijijini ambako huduma za maji wanajuaga zipo tu mjini...