huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi tunaomba maji yapatikane kwa haraka, watu sahizi tunatumia maji ya kwenye madimbwi

    Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo "Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya kwenye madimbwi, maji machafu."
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mradi unaolenga kuboresha huduma ya maji Tanga Jiji, Muheza, Pangani na Mkinga, kunufaisha wakazi 555,000

    Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaahidi kufikisha huduma ya maji kwenye makazi ya watu, Msomera

    Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni. Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba ya Waziri wa Maji kuhusu huduma ya maji amesema kazi kubwa inafanyika kuhakikisha miundombinu ya maji inafika katika maeneo...
  5. JamiiForums Tanzania DAWASA yapokea maombi zaidi ya elfu nne kutoka kwa wananchi wanaohitaji kuunganishiwa huduma ya maji

    Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
  6. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wakabidhi zawadi ya Mbuzi kwa Mbunge Cherehani kwa kuwapelekea Huduma ya Maji

    Wananchi wa Kijiji cha Ushetu wamemkabidhi zawadi mbalimbali Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, kama ishara ya shukrani kwa kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kijijini humo, kilio ambacho wamekuwa nacho kwa muda mrefu. Katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yasema Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa (Tsh. Bilioni 119.9) utawanufaisha Wakazi 219,309

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo , Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Tunduma, Vwawa, Kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Eng. Mwajuma Waziri, kwa niaba ya Serikali na Meneja Mradi...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi zaidi ya elfu 10 wa Itezi waondokana na shida ya maji Mbeya

    Wananchi zaidi elfu 10,000 wa kata ya Itezi jijini Mbeya, wameondokana na shida ya upatikanaji wa maji safi baada ya Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Mbeya MBEYAUWSA, kuzindua mradi wa maji wa kisima kirefu kwenye shule za msingi Gombe na Mwasote jijini humo. Eng. Barnabas Konga ni kaimu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel Aungana na Wananchi wa Siha katika Shughuli za Uchimbaji Mitaro kwa Ajili ya Mabomba ya Maji

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amejumuika na wananchi wa Wilaya ya Siha katika kata za Mung’e na Miti Mirefu kwa shughuli za uchimbaji mitaro kwa ajili ya kusimika mabomba ya maji. Sambamba na hilo, amezindua mradi wa maji katika kata ya Miti Mirefu, mradi ambao unatarajiwa kunufaisha...
  11. JamiiForums Tanzania Shirika la Life Water lawaondolea wananchi 2,584 adha ya ukosefu wa maji

    Shirika la Lifewater International Tanzania limetekeleza mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Kijiji cha Bugogo, Kata ya Mwamala, wilayani Shinyanga, hatua inayowaondolea wananchi wa kijiji hicho changamoto ya muda mrefu ya ukosefu wa maji safi na salama...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Mkundi Morogoro hatujaunganishiwa maji kwenye nyumba wakati miundombinu iko tayari

    Swali kwa Mh Waziri wa maji, Kuna shida gani mpaka leo maji hayajaunganishwa majumbani wakati tenki lipo tayari, mashine ipo tayari, mabomba makubwa yameshasambazwa mitaani, Wananchi tunalazimika kwenda kufata maji mbali kwa watu wanaouza. Pia Rais Samia alishawahi kupita na kutuambia Wananchi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaotuuzia maji ya DAWASA Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi wakati hatuna huduma wao wanayapata wapi?

    Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo. Tunapata adha ya kukosa maji japokuwa tuna mabomba ya DAWASA, Maji yanaweza yasitoke hata wiki tatu bila...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
  15. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kweli hali ya upatikanaji huduma ya maji ni mbaya kiasi hiki? Wizara ya Maji tuambieni ukweli wa video hii

    Salaam Wakuu, Kuna video itambea sasa hivi ikionesha kiwango cha maji kuwa chini sana kuliko kawaida! Nina imani hili limeshawafikia Wizara ya Maji, DAWASA, ukweli ni upi? Hii ndio hali halisi ya kina cha maji sasa? Ni bora tukaambiwa ukweli ili tuwe na mkakati haraka wa jinsi ya kukabiliana...
  16. JamiiForums Tanzania MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji

    Februari 25, 2025 Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mji wa Nachingwea una changamoto ya huduma ya maji kwa zaidi ya miezi minne, hali ambayo imekuwa kero kwa Wananchi wengi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi – Nachingwea (MANAWASA) imetoa ufafanuzi: Kusoma alichoandika...
  17. JamiiForums Tanzania Madiwani Chalinze wailalamikia DAWASA kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania DC Mwanziva Abainisha Mageuzi Sekta ya Maji Wilaya ya Lindi

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva amefanya ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji- Wilaya ya Lindi na kubainisha mafanikio na megauzi makubwa Sekta ya Maji ikiwa ni kazi kubwa iliofanya na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan. Katika...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mita/Dira za Maji zang'olewa usiku wa manane jana-Kiluvya -Kibaha. Waziri wa Maji tupia jicho hapa

    Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian. Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji...
  20. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Uongozi wa Mkoa wa Mbeya unaendelea kudhibiti Kipindupindu lakini Wakazi wa Isyesye hatuna Huduma ya Maji kwa wiki sasa, hii inarudisha nyuma juhudi

    Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka. Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…