huduma ya bima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Changamoto ya huduma ya bima za afya kwa wanavyuo

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni. Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia...
  2. hungary

    Natoa huduma ya bima ya magari aina zote, pikipiki na bajaji

    Habari zenu Frida insurance agent tunakata bima za magari ya aina zote chini ya taasisi ya bima ya taifa NIC Malipo ni kupitia control number unapata cover note yako ndani ya dakika 10 Tunatoa pia elimu ya bima za magari aina zote Kwa mawasiliano zaidi whatsup number 0756899736
  3. N

    Huduma za matibabu zimeshuka kiwango, zimekuwa mbovu, na ni kero kutokana na maboresho ya bima kwa kushusha bei serikali chukueni hatua

    Habari za Leo wananchi! Hali inayoendelea katika nchi yetu katika HUDUMA afya baada ya kushuswa bei za Bima NHIF kutokana na Maboresha HUDUMA katika hospital zetu zinazidi kuwa mbaya, Hospital zimefunga baadhi ya HUDUMA na kupunguza watumishi wakujitolea. Hali hii imeanza kuonekana Kwa Kasi...
Back
Top Bottom