huduma mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Halotel huduma kwa wateja wana huduma mbovu mno

    Halo, Na niseme kwamba wahudumu wa mtandao wa simu halotel kitengo cha kupokea simu 100 huduma kwa wateja huwa wana huduma zisizo ridhisha na mbovu kuwahi kutokea. Sijui wamewaokota wapi hawa wahudumu wao wabovu namna hii, Kwanza wanatujibu vibaya wateja na wanafoka na mteja hata awe...
  2. Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

    Good morning future Billionnaires[emoji23] Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri. Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…