hoteli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

    DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...
  2. JamiiForums Tanzania Hyatt Yatangaza kufungua Hoteli Mpya huko Cape Town, kuna watu kama nawaona

    Inaonekana South Afrika panalipa! Jamaa wamefungua hoteli yao ya pili kwenye Jiji la Jo'berg. Sisi tunaotarajia kuanza kusafiri safiri lazima tukatesti mitambo kuona yaliyomo kama yamo kweli! Kiukweli inapendeza kuona uwezekezaji mkubwa hivi unafanyika katika sekta hii ya utalii na ukarimu...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…