hospital

  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa nyumba nzuri ya kulala wageni karibu na maeneo ya Hospitali ya Muhimbili

    Wakuu salama, Naomba msaada wa kupata lodge nzuri na yenye bei nafuu kuanzia 20,000 hadi 30,000 maeneo ya jirani na Muhimbili hoapitali. Mke na mwanangu wanakuja huko hospitali
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwai Kibaki adaiwa kulazwa Nairobi Hospital. Msaidizi wake apinga taarifa hizo

    Rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki (88) anadaiwa kulazwa katika hospitali ya Nairobi huku familia yake ikisema alifikishwa hospitalini Jumatatu akilalamikia maumivu ya goti Kwa mujibu wa gazeti la Star, chanzo kutoka ndani ya familia kimeeleza kuwa Kibaki alipelekwa hospitali kwa ajili ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna hospitali inayotoa huduma ya kuchoma sindano ya sumu kwa hiyari kama ilivyo ughaibuni?

    Kama tunavyoona nchi za wenzetu hiki kitu kipo sana mfano kupitia yule mtanzania mwenzetu aliyechomwa sindano ya kifo huko ujerumani baada ya kushindwa kuvumilia tabu za ugonjwa alioupata , je Tanzania zipo hospitali za namna hii? Na je sheria zetu zinaruhusu hii? REFFER...
  4. JamiiForums Tanzania alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…