Baada ya hapo jana Askofu Gwajima kutoa ushauri na maoni juu ya mambo mbali mbali yanayoendelea nchini, wameibuka wanafiki machawa na wasema ovyo humu Jf kutaka kuushawishi umma kuwa katika hoja za Gwajima kuna ukabila na udini.
Jambo hili ni hatari na baya mno kwa amani, umoja na Mshikamano...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote.
--
Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari...
Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.