hivi punde

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

    Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala ==== Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama. Kwenye gari...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja kuhusu system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa

    Hatimae serikali ya wanyonge imetia PINI kwenye system ya malipo kati ya vodacom na iPay Africa. Wale tuliokua tuna trade forex na kutumia M-pesa kama njia ya kuweka na kutoa pesa Toeni pesa zenu haraka sana. Hivi kwanini serikali hii hua inasubiri kwanza ione watu wanajipatia chochote ndio...
  3. JamiiForums Tanzania DUDUWASHA-Based on true Story

    DUDU WASHA 1 Episode 1-4 -UTANGULIZI- Ni mwalimu mkuu wa kike katika shule ya msingi Tundu aliyefahamika kwa jina la Walda Nyaongo,,shuleni hapo alikuwa akiwafundisha somo la hesabu darasa la saba,,,akiwa anasahihisha madaftari ya wanafunzi ofisni kwake,,,kwavile ofisi yake ilikuwa karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…