historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

    Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata kitabu changu cha "OPARESHENI ZA KIJASUSI ZILIZOFANIKIWA ZAIDI" Kitabu hiki kina kurasa 214 na...
  2. JamiiForums Tanzania Nani mwenye historia ya John Rupia, Mwana TANU na tajiri wa kwanza mweusi mitaa ya Kariakoo?

    Mwenye ndondoo za mzee wetu huyu marehemu atushushie. Inasemekana alikuwa mfadhili wa TANU na tajiri wa Kariakoo.
  3. JamiiForums Tanzania Ni ipi historia ya Uganda?

    Wakuu nimeona taarifa za kuuwawa kwa mmoja kati ya maofisa wa polisi Uganda Jambo hili limenipa tafakuri kidogo kutaka kujua historia ya kiutawala ama kiuongozi ya Uganda tangu kupata kwao uhuru. Siyajui mengi lakini kwa kile kidogo ninachofahamu Uganda imepita katika machafuko kadhaa kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Historia ya Daraja la Selander la Jijini Dar es Salaam

    Naomba kujua kuhusu daraja la Salender ambalo liko jijini Dar es Salaam 1. Lilijengwa mwaka gani. 2. Mkandarasi / engineer aliyelijenga daraja hilo. 3. Na ni nani aliyesimama ujenzi kipindi hicho. 4. Na kwa nini eneo hilo la barabara na daraja hilo linaonekana liko imara sana. 5. Na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya kisiwa cha Mafia

    LOCATION:- Mafia ni kisiwa kilichopo ndani ya bahari ya hindi,kina jumla wakazi 46,000 kwa sensa ya 2012.Kinapatikana katika mkoa wa pwani. Kutoka jijini Dar es salaam, kuna njia tatu kuu 1.Usafiri wa majahazi (kisiju) 2.Usafiri wa boti (nyamisati) 3.Usafiri wa ndege (JNIA) WAKAZI WAKE...
  6. JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya Ziwa Nyasa

    IFAHAMU HISTORIA YA ZIWA NYASA Ziwa Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki ikiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza na Ziwa Tanganyika. Lina urefu wa 560 km na upana wa 50-80 km. Vilindi vyake vinaelekea hadi mita...
  7. JamiiForums Tanzania Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

    HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922 Mahali pa kuzaliwa: Butiama Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999 Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia ofisini 1964 - 1985 Alifuatwa na: Ali Hassan Mwinyi Dini: Mkristo Mkatoliki Elimu yake Chuo Kikuu cha...
  8. JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa historia ya Wakinga

    Naomba kujua historia ya Wakinga, asili, tamaduni na mengineyo.
  10. JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Jana wakati naangalia TBC Kwenye sherehe za Mashujaa zilizoongozwa na Rais nilipatwa na masikitiko makubwa sana hasa nilipouona ule Mnara wa MASHUJAA wa vita vya Kagera niliwakumbuka sana wapiganaji wenzangu waliopoteza maisha yao wakiwa mstari wa mbele wa mapambano ya kuuondoa Utawala wa Nduli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…