• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

hiking

  1. Bensolo

    Uluguru hiking

    Kwa wale wanaopenda utali na kusafiri tunawaandali uluguru hiking ambayo itafanyika tarehe 28 mpaka 29 march kwa yule anahitaji kujiunga nasi anaweza tembelea tovuti yetu ya www.safari56.com au anaweza kututafuta katika namba zetu a simu 0629191017
Top