hifadhi ya serengeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Tukio hili limetokea kwenye hifadhi ya Serengeti

    Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto. Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai kuwa tukio hilo limetokea katika Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania. Waziri wa Maliasili na...
  2. DuaZaMama

    Tanzania inazidi kuwavutia mastar wakubwa Duniani, sasa ni zamu ya David Raya wa Arsenal

    Kipa namba Moja wa Arsenal David Raya na Mpenzi wake wapo Nchini kwa sasa wakifurahia mapumziko yao baada ya Msimu kutamatika Ligi Kuu ya England. Sasa inaonekana Mastar wengi wanavutiwa na kuja Tanzania kwenye vivutio mbalimbali kuenjoy mapumziko yao baada ya Zlatan kuonekana Serengeti, Pedri...
  3. Upekuzi101

    International airport ndani ya Serengeti ni makosa makubwa kiuhifadhi

    Serikali unajua dhahiri kuwa na kiwanja cha kimataifa ndani ya hifadhi ya Serengeti ni makosa makubwa na madhara yake ni makubwa kuliko faida ila kwa wachache wanangalia faida za kifedha na kupuuza madhara makubwa ya kimazingira na hapa ndo tunapofeli. Kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa...
  4. Prof_Adventure_guide

    Soma kisa hiki kuhusu changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
  5. Nandagala One

    Freeman Mbowe kutoka anguko la Simba "BOB JUNIOR" wa hifadhi ya Serengeti

    Wakuu Salam. Bob Junior Simba Mtawala wa Serengeti hifadhi ya Serengeti ambaye ambaye alitawala kwa miaongo isiyopingua mitatu. Bob junior alivuma kwa utawala wa kibabe ndani ya hifadhi yeye na vijana wa familia yake. Alipendelea utawala wa kiimla, na Kujiona Serengeti ni yeye na yeye...
  6. LAZIMA NISEME

    Ngorongoro yapongezwa kwa kuboresha barabara za Hifadhi ya Serengeti

    TANAPA yapongezwa kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii. Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka...
Back
Top Bottom