heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  3. JamiiForums Tanzania Masheikh Hili litapita Hila Heshima Yenu Haitarudi

    Masheikh kiukweli mnaona mnaitetea Serikali na mnaamini hili likipita serikali itawalipa shukrani. Ukweli ni kwamba mmewaweka waislam mahali pagumu sana. Imani yetu kwenu inapotea kila kukicha. Naamini sasa mbingu ni kujipigania mwenyewe hamna sheikh anaweza kukuongoza kuiona mbingu wengi wapo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hadhi na heshima ya JWTZ imeshushwa mara 10 na wanasiasa

    JWTZ ilikuwa ikiheshimiwa sana kabla ya 2018 kurudi nyuma. 2018 JWTZ wakaambiwa wakabebe korosho Mtwara. Watanzania tukashangaa na kujiuliza kwanini wanaancha kazi ya msingi na kufanywa kuwa makuli? 2019 tulitangaziwa JWTZ watafanya usafi wa mazingira nchi nzima, watanzania tukapigwa butwaa...
  5. JamiiForums Tanzania Heshima ya nchi imeporomoka kisa kulinda maslahi ya mgombea mmoja na CCM

    Kwa miaka mingi Tanzania imekuwa ikiheshimika kama msuluhishi wa vita mbalimbali na alama ya ukombozi na uhuru katika ukanda huu wa maziwa makuu na hata Afrika kiujumla. Tanzania ilipeleka wanajeshi wake huko Congo DRC kusaidia mgogoro baina ya Congo DRC na Rwanda, ila cha kushangaza Rais wa...
  6. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaendana sana na hali ya sasa, Heshima imerudi

    https://youtu.be/VS3BHKMqbu4?si=GoJgDZwYpmbx7N6M
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Orodha ya wazee waliokuwa wanaheshimika ila wamekuja kupoteza heshima yao mwishoni kabisa

    Natamani niweke Orodha ndefu lakini hebu tuishi na hii kwanza.. Kuna wazee ambao tulidhani wangekuwa "dawa" hapo mwanzo lakini ghafla heshima yao waliyojitengenezea imepukutika kama barafu kwenye jua kali 10. Mzee Butiku.. huyu tulidhani angekuwa msaada kabisa lakini kuna tetesi huyu ndio...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa heshima yake Madowo naomba like za kutosha apo chini

  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima nawaita BAKWATA, TEC, KKKT, Wasabato, Manabii, Waanglikana na masheikh tujadili hotuba hii ya Mwalimu Nyerere

    Nawaomba sana ndugu zangu tusikilize hotuba hii kwa makini ili tuweze kujadiliana vizuri.
  11. JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu vya UDSM/DODOMA/MBEYA KUMTUNUKU WANU HAFIDH SAMIA PhD ya Heshima Kwa Mchango wake katika Wizara ya Elimu 🤣🤣

    Ndivo vyombo vya habari Vitakavyoripoti !! Huyu Maza na watoto wake, Elimu zao ni za hapa na pale, ni za kuunga unga sana , Ugonvi wao na Elimu unaanza Wakifika Kidato Cha Nne. Dec 9 ni maandamano makubwa kwelikweli hayajawahi kutokea yaan ni makubwa Mnoo, ALAFU TUNAWAONYA MAPOLISI...
  12. JamiiForums Tanzania hawa madogo wa buku bee mlikuwa mnawadharau ila ndo wameipa nchi heshima mpaka sasa .

    ukikutana na dogo wa buku bee mvulie kofia na umwambie shikamoo.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Si viongozi wote hupata NEEMA na KIBALI cha heshima hii

    Pamoja na matumizi ya mabavu katika kuhakikisha CCM inasalia madarakani, Nchi hii haijawahi kushuhudia uchaguzi uliosuswa na kuleta unyonge katika mioyo ya watanzania kama uchaguzi huu wa mwaka 2025. Wakati ule CHADEMA ilipokuwa na kasi mno na hata matukio ya vurugu yalikuwepo sana tu na...
  14. JamiiForums Tanzania Leo JWTZ limelinda heshima yake na kuthibitisha uimara wake

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo cha wananchi. Leo, limethibitisha kuwa ni jeshi la wananchi na si la watawala. Bila aibu, woga wala ukatili, kwa amani na furaha, limesimama na wananchi kiasi cha kushangliwa. Sijui, kwa nilichoona, Sami anangoja nini? Kongole jeshi letu. Shilkilia...
  15. JamiiForums Tanzania Jeshi limejipatia HESHIMA ya kiwango kikubwa sana

    Kitendo cha jeshi kuwalinda waandamanaji kimelipatia jeshi heshima ya kiwango cha juu sana. Nina hakika, kitendo hiki kitawafanya Gen Z watamani hata kujiunga na jeshi letu. Hakika jeshi ni taasis ya kizalendo. Kongole makamanda wetu. Leo hata nikiambiwa inatakiwa kodi % flani ya kuwalipa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe anafanya Mkutano Mkubwa Kigoma, leo Oktoba 12, 2025, asema "Mimi ni Zitto yuleyule"

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center. https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
  18. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  19. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…