heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Heche anataka sera ya muafaka? amuomba Samia awaite mezani waongee

    Lissu akitoka segereMatata anaweza kumfukuza John Heche kwa usaliti. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Heche amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan bado ana muda wa kuyaita makundi mbalimbali ya kisiasa mezani ili...
  2. JamiiForums GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    "Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
  3. JamiiForums Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  4. JamiiForums GE2025 James Mbowe: Mbowe anatukanwa na Heche yupo kimya

    James Mbowe ambaye ni mwanachama mwaminifu wa chama cha ukombozi wa umma (CHAUMMA) anasema moja ya kitu ambacho kilikuwa kinamuumiza ndani ya CHADEMA ni Mheshimiwa Mbowe kutukanwa kwenye mitandao na viongozi ndani ya chama kuwa kimpya. "Hakuna kitu kibaya kama viongozi kuruhusu muasisi wa chama...
  5. JamiiForums Heche: CHADEMA ni Chama cha Ukombozi, huwezi kukizuia. Ukizuia kwa hujuma unakijengea umaarufu

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche amesema Kesi zinazo wakabili ni Kesi za Kisiasa baada ya kushindwa kudhiti hoja ya 'No Reforms No Election', "Alikamatwa Lissu wakasema ooh! Chama kita-'Paralysis', tukaendeleza Moto ule, sasa ndio wameibuka na hayo mambo. Zuia wasitambue Uongozi, kwamba...
  6. JamiiForums Heche: Watanzania mjiulize, mnaifanyia nini nchi yetu ili vijana wapate ajira

    "Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini? sisi wote tunafanya nini?" - John Heche, Makamu mwenyekiti CHADEMA
  7. JamiiForums Heche kuwa makini usiharibu mambo.CHADEMA hii sio ya kupokea makapi ya CCM

    Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM Umekosea sana.
  8. JamiiForums Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

    Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama. Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari...
  9. JamiiForums GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA. Akizungumza nje ya Mahakama...
  10. JamiiForums Heche adai kua Mwanza ingekua kama Shenzhen Kama nchi ingekua na viongozi wenye maono!

    JE UNAONA NI KWELI?? Maendelel makubwa na kitovu cha utalii
  11. E

    JamiiForums Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  12. JamiiForums Mamilioni ya Watanzania waunga mkono kauli ya Heche. Ni kuhusu kutoogopa viongozi wanaoua na kuteka watu

    Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono. Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa wala kujipendekeza kwa viongozi wanaoua na kuteka watu. Kauli hii imeungwa mkono na Watanzania...
  13. R

    JamiiForums GE2025 John Heche: Hatutapiga magoti kwa mtu yeyote, kama wewe ni kiongozi wa umma lazima ukubali ukosolewe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama kidete kutetea haki, uhuru na maisha ya Watanzania wote Akizungumza Julai 23, 2025, wakati wa kutoa...
  14. JamiiForums GE2025 No Reform, No Election yapingwa kila kona, mchungaji ampiga marufuku Heche kuongelea mada hiyo msibani Arusha, Heche aufyata

    Hakika watanzania wameamka, wameona kampeni hiyo ni utapeli wa kisiasa wenye nia ya kuvuruga amani ya nchi. Baada ya kauli hiyo Heche na Golugwa walionekana kutahayari kama wanataka kukimbia
  15. JamiiForums Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  16. E

    JamiiForums GE2025 Heche: Tunaheshimu uamuzi wa Mbowe kukaa kimya

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu. Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
  17. M

    JamiiForums Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  18. JamiiForums GE2025 Mahakama yafafanua zuio la CHADEMA, zuio linawahusisha Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar Es Salaam imetolea ufafanuzi amri ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambapo Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu na Makamu Wenyeviti wake wawili (2) ambao ni John Heche wa...
  19. JamiiForums PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  20. JamiiForums John Heche akata Keki ya Birthday Mahakamani

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA wamemfanyia 'suprise' ya Birthday Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche kwa kumletea keki mahakamani ambapo baada ya kesi inayokihusu chama hicho Heche alikata keki akiwa eneo la parking ya Mahakama Kuu Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…